Natangaza Baraza langu la JF

Natangaza Baraza langu la JF

kumbe huku kuna kuchagua kazi...
Ka kawa mi waziri wa starehe na mambo ya gizani

naweka pingamizi hapa! Kwanini usichague wizara chakula na maji tehtehtehteh! Ili mvua zikigoma kati kati ya msimu tukikuuliza utujibu nani kawaambia mie ni waziri wa mvua?
 
Ntakufaksia invoice ya Aga Khan ya matibabu yangu... Maana duh.. Umeniharibu! Yaani masharti magumu waliyonipa ili nipone... Mara nisifanye shughuli ngumu,mara nisichoshe mwili,n.k.

Hahahhaaa we hutaki kwenda India?
 
he he he, mie nitakuwa nazunguka na laithi tu.

Yaani kiuno kitabaki na alama ya mkanda wa kwenye ngege kama vile saa au pete zinavyoacha alama.

Nakuhurumia wewe ukiongozana na mie, nilifanya kazi ya ungariba zamani, wasijekuta nimekumbushia ujuzi wangu za zamani.
Hahahhaaaaa Kongosho hufai
 
Last edited by a moderator:
me ungenigea wiraza ya mambo ya nje, afu plz make sure unanipa naibu kisu[cute]...,.c unajua mambo ya nje tena mkuu
 
waziri Mkuu - erickb52
waziri wa fedha - excellent
waziri wa ulinzi- kingkong III
waziri asiye na Wizara Maalum ni - Kongosho kwa sababu yeye mwenyewe hatumueelewi!

mkuu..nimekosa cheo...hata siamini...
 
Back
Top Bottom