Natangaza Baraza langu la JF

Natangaza Baraza langu la JF

dubu una nini mbona huwi wazi?
Hahahaaaa najua unapinga uteuzi binafsi wa Kongosho au nimekosea?

Mnavyzigombea hizi wizara,mhmm... Sipati picha BAGAH akiamka na mihangover yake,halafu asipate hata kawizara uchwara hata kamoja.. Nyie patatoboka hapaa! Ohoo!
 
Last edited by a moderator:
Mnavyzigombea hizi wizara,mhmm... Sipati picha BAGAH akiamka na mihangover yake,halafu asipate hata kawizara uchwara hata kamoja.. Nyie patatoboka hapaa! Ohoo!
Teh BAGAH yeye atakuwa waziri wa Vinywaji na Maendeleo ya Bar mijini na vijijini
 
Last edited by a moderator:
wakuu naomba nipate sahihi 70. napinga huu uteuzi wa MUSSOLIN. avunje hili baraza lake, kama hataki ang'oke yeye.
Tena asijiliwaze kwamba huu ni upepo unaopita, huu si upepo bali ni kimbunga, lazima kiondoke na nyumba kama sio nyumba kitaondoka na bati, bati lenyewe ni MUSSOLIN.

naona kama utapata kura yangu hebu tembeza hyo karatasi
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sasa ni zamu yangu! Maana Magufuli ni mdogo wangu hebu npe hyo wizara ya ujenzi uone!

we mwenyewe lazma uawe umejenga walau nyumba yako sio tukupe wizara ya ujenzi kizembezembe
 
Nadhani hiyo ndo wanajamii wanataka ...wengine naona wanaanza kuhofia magamba.. MUSSOLIN waambie huku hakuna magamba wala Magwanda...
Hii ni nchi nyingine

yaap nadhani wamekusoma fresh!
 
Last edited by a moderator:
MUSSOLIN mkuu ondoa shaka wewe safiri tu kapige picha ulaya usiwe na wasiwasi nchi iko kwenye auto-pilot mode.
Mimi ntawashughulikia watakaojifanya wanajua kula kodi za walala hoi.Ukirudi unafanya re-cycling/shuffle ya baraza mambo yanasonga hakiharibiki kitu hapa.

mia mia C.A.G wangu
 
Last edited by a moderator:
Hivi mbona wewe Mizengwe Amepinda haujafanyiwa ile kitu Ngeleja au una undugu na mkuu? Ila sidhani ukiangalia uso wake na wako labda udugu tukau-trace kuanzia kwa Adamu na Hawa.

mwacheni PM wangu achape kazi!
 
wakuu naomba nipate sahihi 70. napinga huu uteuzi wa MUSSOLIN. avunje hili baraza lake, kama hataki ang'oke yeye.
Tena asijiliwaze kwamba huu ni upepo unaopita, huu si upepo bali ni kimbunga, lazima kiondoke na nyumba kama sio nyumba kitaondoka na bati, bati lenyewe ni MUSSOLIN.

wewe DUBU unalalamika nini sasa?? Nimekupa cheo cha mwenyekiti wa Wazee wa Dsm bado huridhiki tuu?? Ngoja niende brazil nikirudi ntakukolimba
 
Last edited by a moderator:
Loy MX kuna watu wameanza kusoma dua kuhakikisha zoezi halifanikiwi....

tena wewe ndo PM wa nchii! Kale ka wizara cha miundombinu usiponipa lazima nidondoshe saini.
 
Last edited by a moderator:
he he he, mie nitakuwa nazunguka na laithi tu.

Yaani kiuno kitabaki na alama ya mkanda wa kwenye ngege kama vile saa au pete zinavyoacha alama.

Nakuhurumia wewe ukiongozana na mie, nilifanya kazi ya ungariba zamani, wasijekuta nimekumbushia ujuzi wangu za zamani.

Teh Kongosho ukiwa naharage utaharibu kazi....wizara uliyopewa ni kama waziri mkuu kwa kuwa unahusika na wizara zoooote....so wewe ni msaidizi wangu...Mh
Kazi itafanyika kweli?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaaaaaa pole sana aiseee lol ndio mambo ya BAGAH

Ntakufaksia invoice ya Aga Khan ya matibabu yangu... Maana duh.. Umeniharibu! Yaani masharti magumu waliyonipa ili nipone... Mara nisifanye shughuli ngumu,mara nisichoshe mwili,n.k.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom