Natangaza Baraza langu la JF

Ambitious utashangaa akifanya re-cycling/shuffle unatupwa nje kama nanii lol
Hawa wakuu wetu wanabadilika eti ntaandamana hadi akurudishe

Hivi mbona wewe Mizengwe Amepinda haujafanyiwa ile kitu Ngeleja au una undugu na mkuu? Ila sidhani ukiangalia uso wake na wako labda udugu tukau-trace kuanzia kwa Adamu na Hawa.
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaaaaa wakiniNGELEJA natoa siri za nchi oooh
Hamnijui eeeh hapa nitatoka atakaotoka mkuuu wa kaya
 
wakuu naomba nipate sahihi 70. napinga huu uteuzi wa MUSSOLIN. avunje hili baraza lake, kama hataki ang'oke yeye.
Tena asijiliwaze kwamba huu ni upepo unaopita, huu si upepo bali ni kimbunga, lazima kiondoke na nyumba kama sio nyumba kitaondoka na bati, bati lenyewe ni MUSSOLIN.
 
Kwani 10 hazitoshi?
 
dubu una nini mbona huwi wazi?
Hahahaaaa najua unapinga uteuzi binafsi wa Kongosho au nimekosea?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom