Natangaza Baraza langu la JF

Natangaza Baraza langu la JF

Erickb52 umeonaeeh! Hivi ndoa na Rejao bado ipo maana kama nilisikia jambo ivi?
Wewe SALOK unaongea nini hapa?!!!!
Ndoa yetu ipo sana tu tena imesimama kuliko unavofikiria lol!
Tena km mme wangu Rejao hatopewa kitengo cha kueleweka na uwaziri wenu naukataa!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa inasuasua sana ingawa bado ipo ila ya nitonye na sweetlady ndio inapotea potea baada ya klorokwini kutangaza kwenda Big Braza na sweetlady na yeye SL kukubali kwa furaha bila kujua yeye ni mke wa mtu
Yani shem Erickb52 wewe ndio unaisemea ndoa yangu vibaya kiasi hiki???

Yani wewe na maneno yako mshindwe na kulegea na ndoa yetu itadumu milele na nyie wavimba macho mtaishia kutuhaesabia miaka hatuachani ng'o!
Ya kwako ndio inasuasua lol!
 
Last edited by a moderator:
yani shem Erickb52 wewe ndio unaisemea ndoa yangu vibaya kiasi hiki???

Yani wewe na maneno yako mshindwe na kulegea na ndoa yetu itadumu milele na nyie wavimba macho mtaishia kutuhaesabia miaka hatuachani ng'o!
Ya kwako ndio inasuasua lol!

wee naona wizara itakushinda mapemaa! Kumbe huna kifua ee?
 
Last edited by a moderator:
Wewe SALOK unaongea nini hapa?!!!!
Ndoa yetu ipo sana tu tena imesimama kuliko unavofikiria lol!
Tena km mme wangu Rejao hatopewa kitengo cha kueleweka na uwaziri wenu naukataa!

NO! Usigomee si unajua mchango wako ni muhimu sana kwa maendeleo na ustawi wa Taifa la JF! Nitaongea na Mh.PRIZDAA amteue 'my husband wako' awe katibu wako! tehtehtehtehee!
 
Last edited by a moderator:
Yani shem Erickb52 wewe ndio unaisemea ndoa yangu vibaya kiasi hiki???

Yani wewe na maneno yako mshindwe na kulegea na ndoa yetu itadumu milele na nyie wavimba macho mtaishia kutuhaesabia miaka hatuachani ng'o!
Ya kwako ndio inasuasua lol!
Hahahahaaaaa shem hata hivyo nimeona kama wanakuandaa uwe FirstLady sasa sijui wana maana gani?
Nisamehe shem wangu ni SALOK ndio alinishinikiza kusema hayo maneno na MUSSOLIN
 
Last edited by a moderator:
NO! Usigomee si unajua mchango wako ni muhimu sana kwa maendeleo na ustawi wa Taifa la JF! Nitaongea na Mh.PRIZDAA amteue 'my husband wako' awe katibu wako! tehtehtehtehee!
Heee heeee heeee! SALOK Fanya huo mpango na ofic inakuwa nyumban kwetu lol!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa kweli we ni waziri wa Umbeya Lol
Utashangaa naibu wako na yeye anakulipua lol
Hapo inakua ngoma drooo,ni kikazi zaidi kwana hata prezda atalipuliwa tu labda katiba mpya ikataze!
 
Back
Top Bottom