Natangaza Baraza langu la JF

Natangaza Baraza langu la JF

Nitamsubiri wa wizara ya vijisenti
akichafua hali ya hewa
nitafanya kila mbinu niingie mimi
au kijana wangu Mtambuzi.
 
Hahahah hahaha hahah
hahah,
Uwiii mie,mkuu SALOK mie nipen wizara yoyote
cha msingi ni mshiko tu uwe mrefu na bila kumsahau mme wangu
Rejao kumpa wizara ya kueleweka otherwise
nawagomea live lol!

huyu rejao namdai mahari yangu..... hajanipa hata ndururu.
 
Last edited by a moderator:
Kwenye hiyo serikali yenu mtafutieni wizara Rungu.
 
Last edited by a moderator:
??? ??? Du nimelipenda hilo baraza ila ukubwa tu ndio hofu yangu sijui utawalipalipaje at the end of month.... Au ndio watajitajirisha na nyumba za dollars zenye tarakimu 6? Kazi ni kwako.
 
Back
Top Bottom