MUSSOLIN, Ina mana hao wote ulowateuwa ni magamba éeh, nahamia kwa Judgement bora niwe shadow minister kuliko kuwa magambaaa. hata uwazir wa viti maalum cutak tena...
teh...teh..teh..teh! Inaonesha we ni mchaga
Naomba niwe CAG kwenye hiyo serikali lazima ajute mtu.
waziri Mkuu - erickb52
waziri wa fedha - excellent
waziri wa ulinzi- kingkong III
waziri asiye na Wizara Maalum ni - Kongosho kwa sababu yeye mwenyewe hatumueelewi!
MUSSOLIN,
wizara ya nyumba ndogo na mahusiano ya kando atapewa nani?
Usisahau kujaza wizara ya utetezi wa wanaume wanaopigwa na wake zao.......
Itafunguliwa wizara mpya ya Mapenzi, Mahusiano na Urafiki na yeye atakuwa waziri....eti mussolin, huyu kijana anayejiita rutashubanyuma atafiti wizara gani kwa maan kila mara anatelekezwa na viburudisho.kijana anateseka kwa kweli.
Hutanikama kamwe, labda uwe takukuru.
du! Hapana jamani mimi sitaiweza, nitaftie nyingine,hii mpe rejao naamini ndani ya wiki 2 robo 3 ya wana jf tutakua tushakula ban.hiyo ni wizara ya mambo ya ndani ya JF waziri ni Angel msofe