Natangaza Baraza langu la JF

MUSSOLIN, ntakuchapa.

Hivi hiyo ya kiraka ina trip za nje ya nchi?

Nisije ozea Nkasi na Ludewa tu.
 
Last edited by a moderator:
waziri wa fedha BADILI TABIA, mnatakiwa kuwasilisha kwake michango yenu ya changia jf mara baada ha uteuzi huu......loh
 
Last edited by a moderator:
MUSSOLIN, ntakuchapa.

Hivi hiyo ya kiraka ina trip za nje ya nchi?

Nisije ozea Nkasi na Ludewa tu.

usihofu we ni kiraka yaani ni kama naibu waziri mkuu..so safari za nje zpo! Usiwaze sana
 
Last edited by a moderator:
MUSSOLIN, ntakuchapa.

Hivi hiyo ya kiraka ina trip za nje ya nchi?

Nisije ozea Nkasi na Ludewa tu.

...teheee! Udhuria zaidi pale kwa mkuu um'bebee begi. ila upende kuhudhuria misiba na kicheni pati.
 
Last edited by a moderator:
MUSSOLIN, Ina mana hao wote ulowateuwa ni magamba éeh, nahamia kwa Judgement bora niwe shadow minister kuliko kuwa magambaaa. hata uwazir wa viti maalum cutak tena...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom