Natangaza Baraza langu la JF

Natangaza Baraza langu la JF

Hahahahaaaa fanya kumi na moja aisee ila mh mbona majungu ya dubu yameanza mapema?

Huyu jamaa wizarani kajaza marafiki zake tu halafu wengine hawana uwezo.
 
Last edited by a moderator:
dubu una nini mbona huwi wazi?
Hahahaaaa najua unapinga uteuzi binafsi wa Kongosho au nimekosea?

kwani Kongosho yupo india anaumwa hadi apewe hiyo wizara. hahahaaaaa.....!!! Huyu waziri nina mashaka naye. naomba daftari likifika msaign ili baraza livunjwe.
 
Last edited by a moderator:
naona kama utapata kura yangu hebu tembeza hyo karatasi

leo ni wkend subili jumatatu asubuhi saa tatu mtanikuta mlangoni nawasubili. hizi siku zilizobaki ajitafakali kabla ya moto kumuakia. huu sio upepo na hautapita.
 
wewe DUBU unalalamika nini sasa?? Nimekupa cheo cha mwenyekiti wa Wazee wa Dsm bado huridhiki tuu?? Ngoja niende brazil nikirudi ntakukolimba

wewe ni rafiki yangu sana, lakini kwa maslahi ya taifa utanisamehe. utaifa kwanza urafiki baadae.
 
wewe DUBU unalalamika nini sasa?? Nimekupa cheo cha mwenyekiti wa Wazee wa Dsm bado huridhiki tuu?? Ngoja niende brazil nikirudi ntakukolimba

wewe ni rafiki yangu sana, lakini kwa maslahi ya taifa utanisamehe. utaifa kwanza urafiki baadae. jumatatu napitisha karatasi, natafuta sign 11 tu tunakung'oa.
 
dubu, ujue mganga wangu mkali?

Tena nataka kupewa uPM.

kwani Kongosho yupo india anaumwa hadi apewe hiyo wizara. hahahaaaaa.....!!! Huyu waziri nina mashaka naye. naomba daftari likifika msaign ili baraza livunjwe.
 
Last edited by a moderator:
leo ni wkend subili jumatatu asubuhi saa tatu mtanikuta mlangoni nawasubili. hizi siku zilizobaki ajitafakali kabla ya moto kumuakia. huu sio upepo na hautapita.

mpaka humu analeta ushkaj! Wanapeana tu wizara. Naisubir hyo karatasi
 
MUSSOLIN nibadilishie wizara,hii inazingua
 
Last edited by a moderator:
dubu, ujue mganga wangu mkali?

Tena nataka kupewa uPM.

huyo mganga tutamjua baada ya sign 11. Na huo upm utakutokea puani bora ujihuzulu mapema ili kulinda heshima yako.
 
Last edited by a moderator:
mpaka humu analeta ushkaj! Wanapeana tu wizara. Naisubir hyo karatasi

nashangaa!!. yana wanapeana na kubadilishana wanavyo taka. huyu waziri wake mmoja kampa wizara isiyo husiana na muungano kama sio upendeleo ni nini?
 
Nampendekeza Cantalisia ateuliwe wizara ya habari zisizo rasmi (umbea) na utani! Nadhani huyu mmama anatosha ktk nafasi hii!
Hahahah hahaha hahah hahah,
Uwiii mie,mkuu SALOK mie nipen wizara yoyote cha msingi ni mshiko tu uwe mrefu na bila kumsahau mme wangu Rejao kumpa wizara ya kueleweka otherwise nawagomea live lol!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom