Natangaza Baraza langu la JF

Mie si mlafi wa pesa, labda mnitege kwenye kaptura na sketi, ndo maana utoh hawezi nikamata labda takukuru.

Ukija kuomba uhamisho wa kazi, umerambwa, kama yule wa Mwanza aloshikwa juzi.

Kongosho una kalafudhi kama ka Lusinde hivi unaramba watu wewe umekuwa dogi?
Hii serikali kiboko.
 
Last edited by a moderator:
Mie si mlafi wa pesa, labda mnitege kwenye kaptura na sketi, ndo maana utoh hawezi nikamata labda takukuru.

Ukija kuomba uhamisho wa kazi, umerambwa, kama yule wa Mwanza aloshikwa juzi.

Hahahahaaa wasiwasi wangu si kwa kamptula na skirt tu hata vijisent lol
Inabidi uanzishiwe wizara yako mpyaaa
 
Mkuu sasa ni zamu yangu! Maana Magufuli ni mdogo wangu hebu npe hyo wizara ya ujenzi uone!
 
naona unafiti fresh inaonesha we ni mchapa kazi! We wakague mawaziri wote..me nipo zangu safarini nje ya nchi

MUSSOLIN mkuu ondoa shaka wewe safiri tu kapige picha ulaya usiwe na wasiwasi nchi iko kwenye auto-pilot mode.
Mimi ntawashughulikia watakaojifanya wanajua kula kodi za walala hoi.Ukirudi unafanya re-cycling/shuffle ya baraza mambo yanasonga hakiharibiki kitu hapa.
 
Ambitious utashangaa akifanya re-cycling/shuffle unatupwa nje kama nanii lol
Hawa wakuu wetu wanabadilika eti ntaandamana hadi akurudishe
 
Last edited by a moderator:
Ambitious, ujue idogi kwa kihehe ni maharage?

Unamaanisha nimekuwa maharage?

Hii serikali ya wachapakazi tu

Ha..ha..ha haki ya nani wanachomeka maneno yao kwenye ripoti ya CAG duh!! Wewe nakusemea kwa mkuu unapigwa chini walaaaahii!!!
 
Last edited by a moderator:
Ambitious, ujue idogi kwa kihehe ni maharage?

Unamaanisha nimekuwa maharage?

Hii serikali ya wachapakazi tu
Teh Kongosho ukiwa naharage utaharibu kazi....wizara uliyopewa ni kama waziri mkuu kwa kuwa unahusika na wizara zoooote....so wewe ni msaidizi wangu...Mh
Kazi itafanyika kweli?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom