Natangaza Baraza langu la JF

MZIZIMKAVU waziri wa afya, KONGOSHO waziri asiye na wizara maalum, LIZZY waziri wa jinsia na watoto
 
Nampendekeza Cantalisia ateuliwe wizara ya habari zisizo rasmi (umbea) na utani! Nadhani huyu mmama anatosha ktk nafasi hii!
 
Last edited by a moderator:
Mie si mlafi wa pesa, labda mnitege kwenye kaptura na sketi, ndo maana utoh hawezi nikamata labda takukuru.

Ukija kuomba uhamisho wa kazi, umerambwa, kama yule wa Mwanza aloshikwa juzi.

Na Kongosho bila kukwapua ataweza?
 
Last edited by a moderator:
vp kwa wapinzani? Waziri kivuli asiye na wizara maalumu! Sijui nani inamfaa nafasi hii
 
Back
Top Bottom