Natambulisha Live Online Tv kwenu

Natambulisha Live Online Tv kwenu

Download Hapa
Asante kwa mrejesho mkuu ila na hii pia haijafanikisha ni tecno y4 hii apply nilikuwa nayo kwenye simu Yangu hii ila baada kutoa memory card nayo ikatoka sasa kila nikijaribu kuinstall tena inagoma.
 
Unapo-download inasemaje?
 
Unapo-download inasemaje?
Screenshot_2017-10-16-22-13-32.png
Hilo la juu ambalo ni la on line TV Na nikilifungua linasema can't open file Lakini hayo ya manne yanakubali ukifungua
 
Baada ya kudownload, nenda kwenye file manager, fungua file ambalo vitu ulivyo download vinajihifadhi kisha bonyeza Online Tv.
hii online tv yenu mkajipange upya maana niliipakua miezi miwili imepita nikaitoa baadaye! list ya tv ni ndeeefu lakini unakuta inayoonesha ni moja tu mbili na hizo zinazoonesha ni mikwamo mtindo mmoja! aargrrr
 
Ila ni kweli usemacho na redio nyingi hazipo
 
Mkuu salama? Niliwahi kuwa nayo lkn nilifomat kimeo changu.

Sasa leo nimejaribu inaniletea hii kitu. Mwongozo yafadhali.

.
8bf83b788f73c1eb7f777d719c403d74.jpg
 
Ila ni kweli usemacho na redio nyingi hazipo
Lakini huyu hamiliki kituo cha television wala cha radio ila anakurahishia kupata huduma iwapo wenye umiliki wataachia matangazo yapatikane bure online ndo maana naye anakuletea bure maana anajua yeye siyo mmiliki japo wengine wanauza.
 
hii online tv yenu mkajipange upya maana niliipakua miezi miwili imepita nikaitoa baadaye! list ya tv ni ndeeefu lakini unakuta inayoonesha ni moja tu mbili na hizo zinazoonesha ni mikwamo mtindo mmoja! aargrrr
kwenye toleo jipya ambalo linapatikana kwa link hii https://bit.ly/2hK6MZE tumerekebisha
 
Mimi ninayo mda mrefu kidogo, toka wakati wa soka la Vijana wetu wa Under Seventeen kule Gabon, nilikuwa napata mechi Live kabisa.
Halafu ina Channel yangu pendwa ya Dini. Emmanuel TV, mambo safi kabisa.
Asante kwa Online TV yako.
 
Back
Top Bottom