Natambulisha Live Online Tv kwenu

sasa Online Tv app imetimiza mwaka mmoja, unaweza ukaendelea kuwashirikisha ndugu jamaa na marafiki application hii kwa kuwatumia link hii http://bit.ly/2n5MhHo Online Tv app | Your Portable Tv.
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
Channel hizi zimeongezwa kwenye Toleo jipya la App ya Online Tv
Chelsea Tv
Sony SAB
Sony ESPN
Sony ESPN HD
Sony Tv
Sony Ten 1
Sony Ten 1 HD
Sony ten 2
Sony Ten 2 HD
Sony 6
Sony 6 HD
Sky News
France 24 news
kama bado hujadownload toleo jipya la app ya Online Tv Bonyeza link hii http://bit.ly/2n5MhHo
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
mkuu kwanza kabisa salaam na pongezi za dhati zikufikie*

siku hizi ktk version hizi mpya umeharibu kweli watu kibao wameacha kufatilia hii application kwa sababu:
- ina stack ile mbaya ktk kufungua
-imekua shida kutafuta channel
-matangazo yamezidi ile mbaya

*rudisha version ya zamani na jaribu kuongeza channel
*jaribu kuweka donate watu watakusaidia iwe kama paid application angalau kwa pesa ndogo

ni maoni yangu tu

ila hongera sana
 
Ahsante ndugu kwa maoni yako, nilipata changamoto kadhaa hivyo sikuweza kuendelea kufanyia marekebisho, lakini kwa sasa nimerejea na nimeshaanza kufanyia kazi maoni ya wadau. Ahsante
 
Ahsante ndugu kwa maoni yako, nilipata changamoto kadhaa hivyo sikuweza kuendelea kufanyia marekebisho, lakini kwa sasa nimerejea na nimeshaanza kufanyia kazi maoni ya wadau. Ahsante

fanya option ya donate ndugu yangu tutakupa msaada wa pesa japo kidogo.
asante sana
 
Tazama mechi za leo
Real Madrid vs Barcelona 03:00 PM on Sony Ten 2

Everton vs Chelsea 03:30Pm on Chelsea Tv

Valencia vs Villarreal 06:15 Pm on sony Ten 2

Deportivo La Coruña vs Celta de Vigo 08:30 Pm on Sony ten 2

Juventus vs Roma 10:45 Pm on Sony ten 1

For Smartphone users, Click here to download app | PC users use Google Chrome or UC browser to open www.onlineapptv.one/pc
 
Channel hizi zimeongezwa kwenye Toleo jipya la App ya Online Tv
Chelsea Tv
Sony SAB
Sony ESPN
Sony ESPN HD
Sony Tv
Sony Ten 1
Sony Ten 1 HD
Sony ten 2
Sony Ten 2 HD
Sony 6
Sony 6 HD
Sky News
France 24 news
kama bado hujadownload toleo jipya la app ya Online Tv Bonyeza link hii http://bit.ly/2n5MhHo
Mkuu hapa safi sana. Hongera sana hapo kweny sony ten 1 ndipo napopataka. Ha ha ha ha ha ha ha
Umrnifurahisha sana, hii chanel nilikuwa naitafuta sana tena sana zaid hata ya sana.
Hapa nitakuwa naangalia WWE kiroho safi. Ungepata inaonyesha TNA ingependeza pia
 
Waliotumia hii app ulaji wa bundle upoje? Inakamua data fasta ama slow mo? Mfano kwa game la mpira la dakika 90 inakula wastani wa mb ngapi?
 
Waliotumia hii app ulaji wa bundle upoje? Inakamua data fasta ama slow mo? Mfano kwa game la mpira la dakika 90 inakula wastani wa mb ngapi?
Hii mi naipenda na ninaitumia sana kwasababau ya nature za kaz zangu za kusafir safir.
Kuhusu bando sio sana yaan game la 90 minutes unaweza tumia 400MB(KWA VODA). Tatizo kubwa ni kukwama kwama kwa baadhi ya stations hasa ITV lkn azam karibia zote zipo vizur hazikwami kabisa!.
 
Back
Top Bottom