Natambulisha Live Online Tv kwenu

Natambulisha Live Online Tv kwenu

Nashukuru ni kweli ila baadhi ya channel hazipo, especial supersport channels
 
Habari, tunapenda kukufahamisha namna ambavyo unaweza kufahamu aina ya toleo la Onlinne Tv ap unayotumia, ili kufahamu kama unatumia toleo jipya au la zamani, angalia upande wa kulia wa application yako chini ya Menu kama kuna maandishi ya rangi nyekundu yaliyoandikwa "Updated" , kama huoni maandishi hayo, basi unatumia toleo la zamani, na hivyo hutaweza kufurahia maboresho mapya yatayowezeshwa hivi karibuni, sasa ili kupata toleo jipya kwa wale wote wanaotumia toleo la zamani, tembelea website yetu ya www.onlineapptv.one kisha download app yetu
 
Muchas gracious
 
Kazi nzuri mkuu. Nimeipenda.
Mimi kama developer na UI designer kuna vitu ambavyo ningependa uvifanyie kazi:
1. UI ipo kama ya web kitu ambacho kinapunguza user experience. Endapo utahitaji, naweza kukusaidia kutengeneza UI ambayo inafuata design patterns za Android bure (hii ni kukupatia support ili katika technology nasi tufike mbali zaidi mkuu).
2. Integrate payment option kuruhusu wale wasiopenda usumbufu anaoletwa na Ads kufurahia utumiaji wa app (pia itakuwa njia mbadala ya wewe kupata kipato). Pesapal wana API ambayo inaruhusu malipo kwa njia zinazotumika zaidi hapa kwetu (m-pesa, tigo pesa nk.).
3. Mpatie mtumiaji feedback pale ambapo channel haipatikani. Pia kama hana internet access, mjulishe kuhusu ulazima wa kuwa na internet ili atazame tv live (watu wengi hawaelewi maana ya free streaming… mfano mzuri ni comment wanazotoa watu jiu ya app ya ITV wakidhani free inamaanisha hata kama huna data kitu ambacho sio).
4. Kuwa tofauti pia katika matumizi ya lugha… hapa kwetu tunashida moja, kuchanganya lugha mbili (kingereza na kiswahili) hata katika kazi ambazo hazihitaji uchanganyaji huo. Kwa hiyo kama lengo lako ni kupata watumiaji wengi zaidi hata wale wasioelewa kiingereza vizuri, basi weka uwezo wa mtu kuchagua kati ya lugha hizo mbili.
Yangu ni hayo tu mkuu. Kazi nzuri sana…
 
Back
Top Bottom