Natambulisha Live Online Tv kwenu

Natambulisha Live Online Tv kwenu

channel zote zmepotea umetuachia za dini tu kwann?
 

Attachments

  • Screenshot_20171024-102932.png
    Screenshot_20171024-102932.png
    54.3 KB · Views: 134
  • Screenshot_20171024-102937.png
    Screenshot_20171024-102937.png
    53.8 KB · Views: 95
  • Screenshot_20171024-102941.png
    Screenshot_20171024-102941.png
    34 KB · Views: 95
  • Screenshot_20171024-102947.png
    Screenshot_20171024-102947.png
    47.5 KB · Views: 91
  • Screenshot_20171024-102950.png
    Screenshot_20171024-102950.png
    64.9 KB · Views: 94
  • Screenshot_20171024-102957.png
    Screenshot_20171024-102957.png
    46.4 KB · Views: 95
Sasa kwa watumiaji wa PC tumeondoa login requirement, kwa hiyo utaweza kuingia kutazama Tv kwenye PC yako bila kufanya registration
 
inazingua sana umeboresha au umeharibu kulikua kuna haja gani ya kutuletea option ya tv player?maana inazingua picha zinakwama kwama bora hata version ya mwanzo unavyoapdate ndo unaharibu
 
mimi imenibidi nifute app yako tu labda urudishe ile version ya zamani sasa hvi mizinguo tu sijui tv player ondoa hiyo maana picha zilikua zinaonekana robo ya screen
rudisha version ya zamani
 
mimi imenibidi nifute app yako tu labda urudishe ile version ya zamani sasa hvi mizinguo tu sijui tv player ondoa hiyo maana picha zilikua zinaonekana robo ya screen
rudisha version ya zamani
OK, ahsante kwa mrejesho wako tunaweka option ya kuchagua player unayotaka kuitumia, itakuwa tayari tar 29 October
 
Halafu fanya mpango hiyo app yko iwe ya kulipia kila mwisho wa mwez kama 10000.......kuliko kutumia hz mb z kuunga unga
 
Back
Top Bottom