Natambulisha Live Online Tv kwenu

Natambulisha Live Online Tv kwenu

Mmepunguza chanel za nyumbani mbona? Na baadhi ya zilizoko hazionyeshi
 
Mwanzoni channel zilikua poa lakini sasa hivi ni ITV tu ndo inaonekana tena kimagumashi nini tatizo?
 
Habari ndugu watumiaji wote wa app ya Online Tv, tunapenda kuwajulisha kuwa sasa tumetoa update ya application yetu, baada ya kufanya update utaweza kufurahia vitu vingi zaidi kuliko mwanzo, kwa hiyo tunakuomba ufanye update. tembelea website yetu ya Online Tv app – Simu yako, Tv yako ili uweze kupakua toleo hili jipya... Online Tv app | Simu yako, Tv yako
 
Attachments

Inasema app. Not installed. Ni
 
Nme update zile azam zote hakuna,
Halafu inacomand Landscape
Then adds ni nying sana.

Kuna radio zilikuwa na Shida kama kiss fm lkn bado
 
Hamna website kwa wale ambao wanatumia Computer.?
 
Mchezo wa Tanzania na Angola upo live kwenye App ya Online TV, kwenye channel ya Online Tv entertainment kama bado hujaidownload bonyeza hapa https://bit.ly/2n5MhHo
 
nataka mtu ana server ya iptv channel za nyumbani hata kama kwa malipo nipo teyari kulipa.

asanteni
 
Back
Top Bottom