Natambulisha Live Online Tv kwenu

Natambulisha Live Online Tv kwenu

kwa watumiaji wa Online Tv app | Simu yako, Tv yako, ili uweze kutazama Tv kwa kutumia PC huhitaji kudownload, ila unatakiwa kuingia kwenye website yetu Online Tv app – Simu yako, Tv yako kisha bonyeza maandishi makubwa yenye rangi nyekundu yaliyoandikwa TAZAMA TV KWENYE COMPUTER HAPA, baada ya hapo bonyeza sehemu iliyoandikwa CLICK HERE TO GO, Baada ya hapo Bonyeza sehemu iliyoandikwa Launch remote here to select channel, baada ya hapo chagua channel unayotaka kutazama
 
Back
Top Bottom