Natambulisha Live Online Tv kwenu

Natambulisha Live Online Tv kwenu

Jamani kwa heshima na unyenyekevu mwingi, nimetengeneza application ya kutazama live Tv online lakini bado sijaiweka Play store kwa hiyo unaweza ukaidownload kwa kubonyeza link hiyo chini, Kuna channel zaidi ya 20, zikiwemo azam one,azam two,Azam sports HD, Super Sport 1,2,3, na nyingine nyingi, unapo-install itabidi uruhusu instalation from unknown sources, kwa kuwa haijawekwa bado play store na pia maboresho yanaendelea Download Online Tv
Mkuu, azam hawawezi kuwachukulia hatua???. Au wameruhusu watu watazame online????
 
Kwangu hata hz azam zinaonyesha kwa vipindi,muda mwingine azifunguki,yote kwa yote mkuu ametufanyia jambo la maana sana,anastahili pongezi
Jamani hiyo link iliyowekwa mbona kama haiko active?
 
Ya kijinga kama apps nyingine za ku stream, hata usisumbuke kupoteza mda wako ku download. Server zao zinazidiwa like every fucken minute hazifai kabisa hasa kwa wapenzi wa mpira
 
  • Thanks
Reactions: AMB
Ya kijinga kama apps nyingine za ku stream, hata usisumbuke kupoteza mda wako ku download. Server zao zinazidiwa like every fucken minute hazifai kabisa hasa kwa wapenzi wa mpira
Acha chuki za kijinga kama wewe haikufai kaa kimya kwani tumiziona juhudi nzuri za Mtanzania mwenzetu na tunaendelea kumuunga mkono.Wewe nenda katafute za Wabunge zinazokufaa.
 
Back
Top Bottom