Natambulisha Live Online Tv kwenu

Natambulisha Live Online Tv kwenu

Iko poa ongeza local chanel ikiwezekana na supersport hadi 10 kaka maana imetukomboa mkuu
 
Acha chuki za kijinga kama wewe haikufai kaa kimya kwani tumiziona juhudi nzuri za Mtanzania mwenzetu na tunaendelea kumuunga mkono.Wewe nenda katafute za Wabunge zinazokufaa.
Achana naye huyo. Anaroho ya choyo
 
Ya kijinga kama apps nyingine za ku stream, hata usisumbuke kupoteza mda wako ku download. Server zao zinazidiwa like every fucken minute hazifai kabisa hasa kwa wapenzi wa mpira
Nayapokea maoni ya wote, na kila mtu anao mtazamo wake, lakini ni kwamba bado nafanya jitihada za kuiboresha naamini, kuna wakati itafikia ubora ambao wewe pia unauhitaji
 
Nilitumia App hii kuutazama mpila wa simba mwanzo mwisho
Pongezi kwako
 
Clouds Tv sasa ipo live ndani ya Online Tv app, kama hujaidownload fanya hivyo sasa
 
natumia huawei,inadownload, inajitahidi kuinstall,hatimaye inasema not installed,nimejaribu mara zaidi ya nyingi
 
Back
Top Bottom