daraja la kigamboni
JF-Expert Member
- Apr 28, 2016
- 3,480
- 3,405
Tunaotumia windows tunakosa vitu vingi sana.hata hyo mobdro siwezi ipata.
Narudi kwa mchinaTECNO
Narudi kwa mchinaTECNO
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bein Sports kwenye application hii, hipo na inafanya kazi vizuriHongera sana, kila la kheri katika maboresho yako. Natumai utaongeza Bein sports ili tuweze kufurahia mpira kwa wapenzi wa mpira.
umenena mkuukila la kheri katika kuileta tanzania ya viwanda na technology!!!,bora ww unaongea kwa vitendo kuliko hawa jamaa wa kelele wakat hata technology waloikuta nayo wanaiua!!!
Mbona mimi nashindwa ku download? Msaada plzJamani kwa heshima na unyenyekevu mwingi, nimetengeneza application ya kutazama live Tv online lakini bado sijaiweka Play store kwa hiyo unaweza ukaidownload kwa kubonyeza link hiyo chini, Kuna channel zaidi ya 20, zikiwemo azam one,azam two,Azam sports HD, Super Sport 1,2,3, na nyingine nyingi, unapo-install itabidi uruhusu instalation from unknown sources, kwa kuwa haijawekwa bado play store na pia maboresho yanaendelea Download Online Tv
I fone imegoma aiseeMkuu sie WA window phone umetusahau mkuu maana nimeidownload hiyo application haisupport
Naomba nitumie na mimi nashindwa kudownlod.Kwa wote ambao nilisema nitawatumia attachment inbox, naomba kujua kama kuna yeyote nimemsahau. ili nimtumie
Hiyo bado inaboreshwa, rudisha mobdro mpaka itakapotengemaaAsante sana, nime delete MOBDRO rasmi
Na unaendelea kuchomachoma tu[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hapana mkuu labda net yako IPO low me mpaka as3 naistreamIko vizuri. Naona channel tatu tu za kibongo ambazo ni azam 1 & 2, azam hd. Zingine naona zina load. Labda tatizo nni?