28/03/2015
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 366
- 335
- Thread starter
- #261
Kwa wote ambao nilisema nitawatumia attachment inbox, naomba kujua kama kuna yeyote nimemsahau. ili nimtumie
Kwa wote ambao nilisema nitawatumia attachment inbox, naomba kujua kama kuna yeyote nimemsahau. ili nimtumie
Zitaongezwa, naomba uwe na subira kidogo, Ahsante kwa mrejesho wakohongera sana mkuu keep it up tuongezee channel mkuu
Ahsante, nitaongeza baada ya siku chache, naomba uwe na subira,.. Ahsante kwa mrejeshoHongera sana kwa ubunifu, application ipo vizuri inafanya kazi, ongeza maboresho zaidi na kuwepo na local channels.
Mwenyezi Mungu akubariki zaidi upate maarifa zaidi.
Mimi natumia Tecno H6 imekubali, jaribu tena. Bonyeza hiyo link halafu itakupeleka kwenye browser ya kwenye simu yako, halafu uta-download na ku-instalKwenye Simu yangu hiyo link inagoma nikidownload natumia Tecno h6
AhsanteNawakubali sana Wahindi ktk kuonesha elimu zao kwa vitendo, sio kama sisi waswahili, kazi ni kujisifia tu lakini vitendo "zero", big-up sana kwa hii app!
Nimejaribu kutakan kukutumia kwa inbox lakini umezuia, sasa jaribu kudownload hiyo attachmentMimi siipati, em naomba link niidownload
AhsanteNawakubali sana Wahindi ktk kuonesha elimu zao kwa vitendo, sio kama sisi waswahili, kazi ni kujisifia tu lakini vitendo "zero", big-up sana kwa hii app!
AhsanteChannel zote zimeonesha bila matatizo natumia Tecno p3 hongera sana mkuu.
Asante sana. Inafanya kazi vizuri sana, zaidi ya application zote za TV nlizowai kutumia. Big up sana. Fanya mpango iingie kwenye storeNimejaribu kutakan kukutumia kwa inbox lakini umezuia, sasa jaribu kudownload hiyo attachment
na mimi nitumie mkuuKwa wote ambao nilisema nitawatumia attachment inbox, naomba kujua kama kuna yeyote nimemsahau. ili nimtumie
mboni nikitaka kudownload inakataa, msaada ndugJamani kwa heshima na unyenyekevu mwingi, nimetengeneza application ya kutazama live Tv online lakini bado sijaiweka Play store kwa hiyo unaweza ukaidownload kwa kubonyeza link hiyo chini, Kuna channel zaidi ya 20, zikiwemo azam one,azam two,Azam sports HD, Super Sport 1,2,3, na nyingine nyingi, unapo-install itabidi uruhusu instalation from unknown sources, kwa kuwa haijawekwa bado play store na pia maboresho yanaendelea Download Online Tv
Jaribu hiimboni nikitaka kudownload inakataa, msaada ndug