Kuwa mpole mkuuMkuu sisi tunaotumia iphone naona umetusahau
Kuwa mpole mkuuMkuu sisi tunaotumia iphone naona umetusahau
Naomba usubiri itakuja na nitawajulisha hapa hapa JfMkuu sisi tunaotumia iphone naona umetusahau
Kuwa mpole mkuu
Big up mkuu,iko poa sanaJamani kwa heshima na unyenyekevu mwingi, nimetengeneza application ya kutazama live Tv online lakini bado sijaiweka Play store kwa hiyo unaweza ukaidownload kwa kubonyeza link hiyo chini, Kuna channel zaidi ya 20, zikiwemo azam one,azam two,Azam sports HD, Super Sport 1,2,3, na nyingine nyingi, unapo-install itabidi uruhusu instalation from unknown sources, kwa kuwa haijawekwa bado play store na pia maboresho yanaendelea Download Online Tv
Ahsantedah!, ubalikiwe sana mkuu, naisi sina haja tena siku izi ya MOBDRO coz hii ni bora zaid
Unatumia simu aina gani?Nimediwnload lakini channel hazifunguki tatizo ni nini
Ahsante kwa mrejesho nitafanyia kazi ushauri wakoHongera. App inafanya kazi vizuri. Kamilisha maboresho tu, itafanikiwa sana hii App
Vp kwenye windows phone au pc?Ahsante
Nimepokea Ushauri wako ahsanteNimeipenda sana programu tumishi yako. Inafunguka vizuri na kwa wepesi. Naomba tu uongeze na channels zingine za hapa Tanzania
Shukrani mkuu imekubali...sawa mkuu
Nitumie linkAhsante
Asee yaani hiyo user id yako nilikufikiria utakuwa babu hivi kumbe ni kijana tu daah!!Nacheki game ya Real Madrid hapa mkuu umetisha kinoma noma