Natambulisha Live Online Tv kwenu

Natambulisha Live Online Tv kwenu

Jamani kwa heshima na unyenyekevu mwingi, nimetengeneza application ya kutazama live Tv online lakini bado sijaiweka Play store kwa hiyo unaweza ukaidownload kwa kubonyeza link hiyo chini, Kuna channel zaidi ya 20, zikiwemo azam one,azam two,Azam sports HD, Super Sport 1,2,3, na nyingine nyingi, unapo-install itabidi uruhusu instalation from unknown sources, kwa kuwa haijawekwa bado play store na pia maboresho yanaendelea Download Online Tv
 
Boss nichek whatsapp 0746510577 tuchonge mishe
 
Jamani kwa heshima na unyenyekevu mwingi, nimetengeneza application ya kutazama live Tv online lakini bado sijaiweka Play store kwa hiyo unaweza ukaidownload kwa kubonyeza link hiyo chini, Kuna channel zaidi ya 20, zikiwemo azam one,azam two,Azam sports HD, Super Sport 1,2,3, na nyingine nyingi, unapo-install itabidi uruhusu instalation from unknown sources, kwa kuwa haijawekwa bado play store na pia maboresho yanaendelea Download Online Tv
mbona kama umekopy na kupest LIVE STREAM kaka..mana channel ni zilezile labda km utaongeza
 
Mkuu inakugoma sana. Yani kila saa inastaki tena inachukua muda mrefu sana sijui Kuna shida gani. Jaribu kutatua hiyo changamoto maana habari inashindikana kabisa kuangalia azam 2
 
Dah,iko poa sana,vp kwa habari ya channel zingine mkuu kama itv,star,east afrika,sinema zetu, etc unatupia lini
 
Mkuu inakugoma sana. Yani kila saa inastaki tena inachukua muda mrefu sana sijui Kuna shida gani. Jaribu kutatua hiyo changamoto maana habari inashindikana kabisa kuangalia azam 2
Labda net yako sio nzuri, mi naangalia channel zoote ziko poa tu
 
Mbona azam two tunashindwa kuona mechi ya yanga na jkt ruvu!
 
Jamani kwa heshima na unyenyekevu mwingi, nimetengeneza application ya kutazama live Tv online lakini bado sijaiweka Play store kwa hiyo unaweza ukaidownload kwa kubonyeza link hiyo chini, Kuna channel zaidi ya 20, zikiwemo azam one,azam two,Azam sports HD, Super Sport 1,2,3, na nyingine nyingi, unapo-install itabidi uruhusu instalation from unknown sources, kwa kuwa haijawekwa bado play store na pia maboresho yanaendelea Download Online Tv
Cm yang inagoma kufungua hyo link nisaidie
 
Fantastic kaka. Uzuri wake ni kwamba hai scratch hovyo na haili mb sana. Nimeifurahia azam channel zote 3.
Ila naona zile za ughaibuni zinachelewa na mara nyingine zainakataa ku load.
Ningeshauri ads zipunguzwe na pia channels ziongezwe hasa za nyumbani kwani za ughaibuni kuna apps nyingi za kuzi access.
 
Back
Top Bottom