Natambulisha Live Online Tv kwenu

Natambulisha Live Online Tv kwenu

Kaka umetisha, Boom J8 iko poa, ila kwa supersports inastream muda mrefuu hazifungui. Kuna muda zilifunguka, sasa za supersports zimegoma ila baadhi poa. Good job
 
Mmh! Nyie mnaosema iko poa, mmejiungaje? Mbona naanza kuwafananisha na wapambe wa karata tatu!
Mkuu sio mmejiungaje nikweli alitoa huu uzi ikawa inapatikana tuliowahi tukadownload na tunaenjoy mpaka sasa kwa baadhi ya washkaji ambao niliwapa link ndio Wamenipa mrejesho kuwa haipatikani sasa labda anaesimamia hiyo app atuambie ndio kaifunga katika mpango WA kumigrate kwenda kwenye app store au imekuwaje ngoja nitaambatanisha na live image inayosoma Muda nilio screenshot
 
Recent screenshot hiyo ni azam 2

1477333812181.png
 
Mkuu sio mmejiungaje nikweli alitoa huu uzi ikawa inapatikana tuliowahi tukadownload na tunaenjoy mpaka sasa kwa baadhi ya washkaji ambao niliwapa link ndio Wamenipa mrejesho kuwa haipatikani sasa labda anaesimamia hiyo app atuambie ndio kaifunga katika mpango WA kumigrate kwenda kwenye app store au imekuwaje ngoja nitaambatanisha na live image inayosoma Muda nilio screenshot
Kuna apk ameiweka naona inafanya kaz vzr....
Ajaribu kuwa na mirror tofauti itasaidia
 
Mtanzania wa kwanza kutuanzishia njia ya kwenda safar ya viwanda .. Hongera kwa kumtoa mkulu kimaso maso maana naona uanzishwaji wa viwanda ulikuwa unadoda hehehehe
 
Huyo mwenye wasi wasi kwamba huenda tukawa mashabiki wa karata tatu..
Aangalie hizi nimezipiga sasahivi...

bdd108e9a3ec82f88bf2869f6719700b.jpg

Na hii[emoji116] [emoji116]

1edaa402e8d494fba300e0943e2a552e.jpg

Na hii pia [emoji116] [emoji116]
49a9a8aeb8f9b9e3076ddc9425380d4e.jpg
 
Jaribu ku regulate adds...Zikiwa zona Pop up kwa kila 2 clicks za kujaribu navigation ni too much!

Mfano Mobodro ukitazama channel lets say kwa 30 minutes ndo ads zinakuja...Ila yako kila navigation nayojaribu lazima zitokea ads kwanza...Najua hizo ndo sources of income kwa developer ila zikiwa nyingi sana zina Bore
 
Back
Top Bottom