Natambulisha Live Online Tv kwenu

Natambulisha Live Online Tv kwenu

Inasemaje unapoinstall? Inabidi uruhusu installation from unknown sources kwa sababu bado sijaiweka play store
Nimefanya yote hayo MTU labda unitumie hyo link inbox nijaribu maana mie Nina click hapo hapo uliposema download
 
Mie nakrik hapohapo, hamna kitu, ... Najiungaje kwa mfano
 
Mmh! Nyie mnaosema iko poa, mmejiungaje? Mbona naanza kuwafananisha na wapambe wa karata tatu!
 
Jamani kwa heshima na unyenyekevu mwingi, nimetengeneza application ya kutazama live Tv online lakini bado sijaiweka Play store kwa hiyo unaweza ukaidownload kwa kubonyeza link hiyo chini, Kuna channel zaidi ya 20, zikiwemo azam one,azam two,Azam sports HD, Super Sport 1,2,3, na nyingine nyingi, unapo-install itabidi uruhusu instalation from unknown sources, kwa kuwa haijawekwa bado play store na pia maboresho yanaendelea Download Online Tv

Ni kwa android tu au pamoja na iOS mkuu?
 
Back
Top Bottom