28/03/2015
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 366
- 335
- Thread starter
- #241
Utatumiwa attachment inboxMm pia inagoma
Utatumiwa attachment inboxMm pia inagoma
Tunashughulikia hilo, itakaa sawaIko poa chanel zote kasoro naona za music hazikubali kuonesha zinastream mda mrefu kwanini
Naomba usubiri nitakutumia
Jamani kwa heshima na unyenyekevu mwingi, nimetengeneza application ya kutazama live Tv online lakini bado sijaiweka Play store kwa hiyo unaweza ukaidownload kwa kubonyeza link hiyo chini, Kuna channel zaidi ya 20, zikiwemo azam one,azam two,Azam sports HD, Super Sport 1,2,3, na nyingine nyingi, unapo-install itabidi uruhusu instalation from unknown sources, kwa kuwa haijawekwa bado play store na pia maboresho yanaendelea Download Online Tv
iOS itakuja nitaeajulisha itakapojuwa tayariMbona haunijibu kwa wanaotumia iPhones?
Nimepata hiyo taarifa soon zitakaa vizuriIko poa chanel zote kasoro naona za music hazikubali kuonesha zinastream mda mrefu kwanini
Naomba usubiri kidogoMbona mimi sijibiwi...inagoma kwangu ku download. .natumia note 2 galaxy
sawa mkuuNaomba usubiri kidogo
Nimejaribu kukuPM lakini, nikibonyeza jina lako umedisiable nisiweze kuona profile yako, sasa nimeshindwa kukutumia inboxInakataa hata kudownload mkuu
Daah mi imezingua Ku install wakuu natumia huaweiJamani kwa heshima na unyenyekevu mwingi, nimetengeneza application ya kutazama live Tv online lakini bado sijaiweka Play store kwa hiyo unaweza ukaidownload kwa kubonyeza link hiyo chini, Kuna channel zaidi ya 20, zikiwemo azam one,azam two,Azam sports HD, Super Sport 1,2,3, na nyingine nyingi, unapo-install itabidi uruhusu instalation from unknown sources, kwa kuwa haijawekwa bado play store na pia maboresho yanaendelea Download Online Tv
Download TenaNimedownload imefika 75 imeganda nifanyeje?
AhsanteHongera sana mkuu,Mungu akubariki!
Inasemaje unapo install?Daah mi imezingua Ku install wakuu natumia huawei
Msaada plz