Natamani .........

Natamani .........

Natamani kusingekuwa na siasa ulimwenguni
 
Mhhhh!!! Sasa wimbo wa kwaya unachezaji banaaaa!!!! Mie sijawahi kucheza nyimbo ya kwaya hata moja na hii nyimbo wala siijui, lakini ukiweka vitu kama hivi nahamia kabisa kwenye dancing floor kwa masaa chungu nzima tena kwa raha zangu 🙂🙂



Kuna wimbo unaitwa haja ya moyo wangu nitende mapenzi yako. Ni kwaya ya uliyankulu BAK akipita hapa natamani aucheze.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom