Natamani .........

Natamani .........

Bora uje tushare haya labda yatapungua mawazo kichwani ....

Am gud darling, vipi na wewe?uko poa?

am gud my..worry out am cuming we can reasoning together as friend...
nadhani tutakapoongea basi tutasahau mawazo yooooote
 
kwanini ukasirikie maisha yako?...furahia maisha yako sababu wewe ni wewe na unaweza ukayaendesha wewe.....mengine usilazimishe just wait for the right time....


Hope utakuja kunioa mimi hahhahaah....kidding


thanks mpendwa itabidi niikubali huku nikifanya jitihada za kukamilisha hili jambo bila kuathiri mahusiano yangu na watu wangu wa karibu
hahahahah...nawe unatamani nn kwan?
 
Saa tisa usiku natamani mwenza au kumalizia kusoma novel yangu au vyote viwili
 
Natamani sana kumwona Mamndeny live (uso kwa uso)
 
Last edited by a moderator:
nilale na nikiamka ishapita tar 4 june na kila kitu kiwe kimeenda perfect!
 
Hata mi kuna kitu nakitamani subirii nikimbiee mara mbilii narudii
 
Natamani nipate kazi nzuri yenye mshahara kuanzia milioni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom