Natamani .........

Natamani .........

natamani niwe natamani lakini siwezi kutamani tena. nilitamani mke wa askari magereza nikaishia kupata kichapo heavy.
 
eti! eeh! Ahsante sana mkuu
hii hali inanitesa sana , nimekuwa mtu wa kukasirika mara kwa mara!
kwanini ukasirikie maisha yako?...furahia maisha yako sababu wewe ni wewe na unaweza ukayaendesha wewe.....mengine usilazimishe just wait for the right time....


Hope utakuja kunioa mimi hahhahaah....kidding
 
Mimi natamani kila mwana JF akichangia picha yake halisi ionekane kwenye screen, nimechoka na hizi avatar za uongo...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom