kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,506
- 18,872
Natamani miaka irudi nyuma!!!
Ikisharudi itakuwaje...?
Natamani miaka irudi nyuma!!!
Ikisharudi itakuwaje...?
akikujibu, naomba unishtue tafadhali..
Baba nipo usihofu...Nataman kuitwa mama.....
Ningekupa lakini badili hiyo avatar kwanza....Me nataka dushelele2
Ninae hapa njoo umchukue....mi natamani kupata mtoto naomba mniombee dua zenu inshallah!
Ninae hapa njoo umchukue....
Ungeelewa vizuri wala usingesumbuka kuandika maelezo yoote hayo. Nadhani wakubwa kama a.rahabu walinielewa.... hahahaaaaaaaaaaa...saa zingine tujaribu kuwa wastaarabu na kuheshimu shida na matatizo ya wengine..kama wewe umeshajaaliwa mshukuru M/Mungu wako na utuache wengine wenye tamanio hilo tuendelee kumuomba yeye huyo huyo aliyekupa wewe....mshukuru sana.