dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,936
- 8,345
mkuu kama una hela ya posa oa mkuu
nipo kwenye process mkuu....
mkuu kama una hela ya posa oa mkuu
Me nataka dushelele2
mi natamani kupata mtoto naomba mniombee dua zenu inshallah!
Ndio niko tayariUko tayari kumpokea?
vp miss neddy ina maana umeshaolewa
gorgeousmimi Kuna nini tarehe 4 June?Hope ni jambo la kheri!Mwenyezi Mungu ayatimize hayo mema unayoyatamaninilale na nikiamka ishapita tar 4 june na kila kitu kiwe kimeenda perfect!
Ntakuombea dua inshallah yote majaaliwa tu ndugu yangu!mi natamani kupata mtoto naomba mniombee dua zenu inshallah!
Ni jambo la kheri kakaangu lakini ni jambo muhimu kwangu…shukran kwa dua zako!!gorgeousmimi Kuna nini tarehe 4 June?Hope ni jambo la kheri!Mwenyezi Mungu ayatimize hayo mema unayoyatamani
Ni jambo la kheri kakaangu lakini ni jambo muhimu kwangu shukran kwa dua zako!!