Natamani simu kali zisiwekwe kioo mbele na nyuma

Nimewahi kusoma sehemu kuwa wireless haina ubora kama kutumia wire yenyewe.

Mfano ukiunganisha spika na simu kwa kutumia wire, nyimbo inakuwa vizuri zaidi kuliku ukiunganisha kwa wireless.

Mimi siyo mtaalamu pande hizo nimegusa tu nilichosoma sehemu.

Chief-Mkwawa
Yeah ni kweli labda kwa sasa inaeza kuwa na quality....me nyimbo nilikuwa na connect kwenye amplifier kwa kutumia samsung galaxy pocket ina sound poa sa
 
Napenda wireless technologies zinakupa uhuru na kupunguza kero nyingi. Mfano katika upande wa muziki waya ni kero, pia zinakupa advanced features kama kucharge kifaa kingine na kingine, kucheza muziki kwa kushare vifaa vingi, nk
 
Back
Top Bottom