pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 4,579
- 2,959
Unanunua simu ya glass back unweka plastic cover 😀😀😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila simu bila cover inapendeza sana basi tuUnanunua simu ya glass back unweka plastic cover
Hata mimi sipendi kabisa makava, sema ndio hivyo simu ninazopendelea kutumia zina kioo kwa nyuma...sababu ya kuteleza nakuwa sina namna.Hiki kitu kimenishinda kabisa kwakweli. Mimi nikinunua simu nataka niitumie kama ilivyo, mambo ya ma cover, sijui ma screen protector kwangu no.
Exactly mkuu. Simu inatakiwa iwe slim and light. Ukishaweka li cover na li screen protector kwanza ule uzuri wote wa simu unapotea. Pia inaongezeka unene na uzito yani kifupi inapoteza mvuto completely.Ila simu bila cover inapendeza sana basi tu
Ndio hapo sasa unajiuliza kama simu inawekwa glass back ili ivutie, lakini ili uitumie inabidi uweke plastic cover, sasa hiyo glass back itavutia vipi ilhali ipo ndani ya cover? 🤣🤣 Wizi tu..Unanunua simu ya glass back unweka plastic cover 😀😀😀
Mbishe msibishe wireless ndo uelekeo wa dunia na perfections zinafanyika, ckuiz simu kama oneplus 9 unacharg wirelessly na cm inajaa baada ya dk45, hivyohvyo kila gar linalotoka miaka hii la kisasa lazma liwe na wireless chargerNi kweli mkuu hata Charger wireless hazifikii waya na umeme mwingi unapotea. Mfano charger ya waya asilimia 98 inaweza ingia kwenye simu na 2 ukapoteza, wakati Wireless tunaongelea 30 mpaka 80, hivyo umeme wa kuchaji simu 3 unaweza tumika kuchaji simu moja.
Same kwa earphone bluetooth ina bandwidth ndogo ili usikilize mziki quality inabidi compression ifanyike na compression inapunguza Quality. Hizi True Wireless Earbuds haziplay Lossless Audio unatoa Laki kadhaa hadi millioni wakati Earphone kali za waya pengine ukatoa laki ama chini ya hapo ukapata quality kali sana, na wired zipo simu nyingi zinakuja na DaC ya maana.
Glass is more premium than metal, thats the fact, fingerprints zinazuiwa kwa mate finish, conecctivity ya glass ni powerfull kulko metal, ata plastic inaishinda metal kwa conectivity(you cant argue with phisics)Mfano simu kama hizi mbona zilikua nzuri sana na hazikua na glass. Hizi material nilidhani wangeendelea nazo maana hazipasuki, hazishiki fingerprint na pia simu haitelezi iwe mkononi au mezani.
View attachment 1986197
View attachment 1986199
Nadhani kama mtu una access ya kupata vitu original vya simu husika na mafundi bora huna haja ya kuweka back cover,tatizo bongo ukishavunja simu kama ni kioo cha mbele au cha nyuma kukipata chenyewe ni ngumu hata ukiagiza duniani huko kikaja mafundi wengi wanabahatisha na ni wababaishaji.Ndio hapo sasa unajiuliza kama simu inawekwa glass back ili ivutie, lakini ili uitumie inabidi uweke plastic cover, sasa hiyo glass back itavutia vipi ilhali ipo ndani ya cover? Wizi tu..
Hakuna anekataa ila ni inferior, umewahi tumia hio wireless charging?Mbishe msibishe wireless ndo uelekeo wa dunia na perfections zinafanyika, ckuiz simu kama oneplus 9 unacharg wirelessly na cm inajaa baada ya dk45, hivyohvyo kila gar linalotoka miaka hii la kisasa lazma liwe na wireless charger
Bei za vioo vya nyuma OG inafika hadi laki 2 na upuuzi. Inahitaji moyo kununua OG kwa kitu ambacho hakiongezi functionality yoyote zaidi ya urembo tu.Nadhani kama mtu una access ya kupata vitu original vya simu husika na mafundi bora huna haja ya kuweka back cover,tatizo bongo ukishavunja simu kama ni kioo cha mbele au cha nyuma kukipata chenyewe ni ngumu hata ukiagiza duniani huko kikaja mafundi wengi wanabahatisha na ni wababaishaji.
Hatujabisha.Mbishe msibishe wireless ndo uelekeo wa dunia na perfections zinafanyika, ckuiz simu kama oneplus 9 unacharg wirelessly na cm inajaa baada ya dk45, hivyohvyo kila gar linalotoka miaka hii la kisasa lazma liwe na wireless charger
Kuna simu zikipasuka kioo cha mbele ni bora ununue simu mpya utaipata kwa bei ndogo kuliko hicho kioo 😄😄Nadhani kama mtu una access ya kupata vitu original vya simu husika na mafundi bora huna haja ya kuweka back cover,tatizo bongo ukishavunja simu kama ni kioo cha mbele au cha nyuma kukipata chenyewe ni ngumu hata ukiagiza duniani huko kikaja mafundi wengi wanabahatisha na ni wababaishaji.
Kama wewe sio mtu wa kuangusha angusha simu badala ya kuweka cover unaweza kuweka "skin" ambazo zenyewe ni kama sticker nyembamba zinasaidia simu isiteleze ila hazizuii isipasuke. Pia kama kioo cha nyuma kimepasuka unaweza kubandika hizi ili kuficha.Hata mimi sipendi kabisa makava, sema ndio hivyo simu ninazopendelea kutumia zina kioo kwa nyuma...sababu ya kuteleza nakuwa sina namna.
Ngoja nizitafute hizo nahisi zinaweza kuwa bora kwangu kuliko makava yanayoongeza ukubwa wa simuKama wewe sio mtu wa kuangusha angusha simu badala ya kuweka cover unaweza kuweka "skin" ambazo zenyewe ni kama sticker nyembamba zinasaidia simu isiteleze ila hazizuii isipasuke. Pia kama kioo cha nyuma kimepasuka unaweza kubandika hizi ili kuficha.
View attachment 1986609
Advantage ya wireless ni kubwa kurko wired na durability ni kubwa, kwa wanaonunua simu unique wanajua hiliHatujabisha.
Unajua kuna teknolojia nyingine hua tunazipokea tu kwavile ni teknolojia mpya, ila unakuta hazina umuhimu kivile ukilinganisha na teknolojia iliyopo.
Mfano hii wireless charging haina ubora wowote ukilinganisha na wired charging. Ukiweka simu kwenye wireless charging pad huwezi kuitumia kama vile unavyotumia simu ikiwa kwenye charging cable, sema ndio ivyo imeshakuja teknolojia na wenyewe wanai push utafanyaje sasa.
Polycarbonate ni almost haina scratch na ikipata zinakuwa sio visible.Binafsi mm ni mpenzi wa back glass kuliko plastic..1st back glass feels more premium than plastic...2nd plastic inapata scratches easily kuliko glass...kwa upande mwengine nna miaka 2 simu yangu haina protector wala cover na still my phone iko safe with back glass...by the way siwezi nunua flagship eg s21 or s21plus zenye plastic back never never!
Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app
Ofcoz polycarbonate ni nzuri ikipata scratches inakua kama vumbi ukipangusa scratches inaisha..ni bora hyo kuliko cheap plastic ambayo lazma uweke cover kuilinda na hzo scratches.Polycarbonate ni almost haina scratch na ikipata zinakuwa sio visible.