Kingeteza ndio lugha ya nchi/kabila gani?Nahitaji kujua kingereza cha kuongea mwenye kujua chuo ambacho naweza kusoma ndani ya mwezi 1 anisaidie umri wangu ni 45yrs
njoo kwangu wiki 2 tuu!Nahitaji kujua kingereza cha kuongea mwenye kujua chuo ambacho naweza kusoma ndani ya mwezi 1 anisaidie umri wangu ni 45yrs
Fursa! Asipoelewa unarudisha ada hahahahanjoo kwangu wiki 2 tuu!
Jifunze mtandaoniNahitaji kujua kingereza cha kuongea mwenye kujua chuo ambacho naweza kusoma ndani ya mwezi 1 anisaidie umri wangu ni 45yrs
Anza tu kuzungumza broken ila jiamini utaweza si unamuona diamond anavyozungumza vizuri sasa.Nahitaji kujua kingereza cha kuongea mwenye kujua chuo ambacho naweza kusoma ndani ya mwezi 1 anisaidie umri wangu ni 45yrs
Nashukuru kwa ushauri wako ila bado cjajua ni channel gani ambazo zinaweza kunisaidia pia cna mtu karibu ambae angalau anafahamu vizuriNjia rahisi ya kujua lugha yoyote ni kujifunza kama mtoto.. hakuna kwenda darasani wala kujifunza zile sheria sijui na aina za maneno.. fungua channel za kiingereza za tv, sikiliza redio channel za kimombo, fanya mazoezi ya kuongea na mtu ambaye unajua anaweza kuongea, usiogope kukosea, ukikosea unarekebishwa unajaribu kunyosha tena..practice, practice, practice...baadae unaweza kabisa.. huko darasani utapoteza hela yako.. tena na wewe unaweza kusoma hapo una faida pia ya kuweza kujua zaidi na mapema.. sasa ukianza kwenda kujifunza nouns, sijui verbds, parts of speech sijui grammer rules utachelewa sana... ni sawa na mtu anaetaka kujifunza muziki kupiga chimbo fulani,,unaanza kwenda kusoma vile virungu virungu vya notation wakati kitaa mtu anakufundisha vizuri na unamudu
AhsanteAnza tu kuzungumza broken ila jiamini utaweza si unamuona diamond anavyozungumza vizuri sasa.
Ila kabla ya kuanza hiyo course mwambie mwalimu akutofautishie kati ya hivi
Your na you are/you're
I am/I'm na Am
Hili ni tatizo kubwa kwa watu wengi hata wanaojinasibu kujua kingereza wanatumia vibaya
mtafute Ras Simba akusaidieSorry kingereza
Unaweza amua nduguNahitaji kujua kingereza cha kuongea mwenye kujua chuo ambacho naweza kusoma ndani ya mwezi 1 anisaidie umri wangu ni 45yrs