sixlove
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 579
- 414
Habari ndugu zangu.
Naomba ushauri wa chuo bora kusoma Masters katika fani ya Mazingira, au waste management na course ipi nzuri ukiachana na Environment Management, Disaster management na climate change. So far nina Bachelor ya Environmental Planning and Management kutoka IRDP.
Binafsi huwa napenda sana kusoma Public Health lakini kwa consultation ambazo nimefanya wengi wameniambia sita qualify mpaka nisome kwanza Postgraduate diploma ya public health. So far Tz hatuna chuo kinachotoa hiyo postgraduate.
Please kama unaweza kuwa na ufahamu zaidi waweza kunishauri maybe kuna chuo ambacho naweza kupata admission ya MpH kwa kuzingatia elimu yangu ya degree.
ASANTE SANA.