Natamani sana kuongea kingereza

Natamani sana kuongea kingereza

Nahitaji kujua kingereza cha kuongea mwenye kujua chuo ambacho naweza kusoma ndani ya mwezi 1 anisaidie umri wangu ni 45yrs

Mkuu, nunua DSTV na uwe unasikiliza channel za comedy , na kama una smart phones , basi download comedy za mind your language series , na mwisho kabisa kapange nyumba moja na mhaya mlevi kitapanda tu, lakini sijui kwenda shule it is absolutely wastage of money and time!!! nakumbuka Sudan , nilipofika tu nikatafuta mwalimu wa Kiarabu, mkuu miezi sita badoi nahangaika tu na pesa natumia , siku moja nikakutana na Mkogoman mmoja na mke wake wanabonga kiarabuy balaa, nikamuuliza wapi naweza pata mwalimu aliekufundisha , akaniambia '' papa weye tembelea tu ku marche na utoe haya uongee uchekwe kitapanda tu mukubwa'' na kweli kinapanda kiaina japo nilichelewa
 
Back
Top Bottom