Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 23,907
- 29,230
Waliomfikisha hapo ni CCM mnaowaona bora eti mnarudi mlipotea.Nahitaji kujua kingereza cha kuongea mwenye kujua chuo ambacho naweza kusoma ndani ya mwezi 1 anisaidie umri wangu ni 45yrs
Waliomfikisha hapo ni CCM mnaowaona bora eti mnarudi mlipotea.Nahitaji kujua kingereza cha kuongea mwenye kujua chuo ambacho naweza kusoma ndani ya mwezi 1 anisaidie umri wangu ni 45yrs
Kinaitwa kiingereza.Sorry kingereza
Mimi nipo Dar.Mimi niko dar
Muda wa mwezi mmoja ninaona ni mfupi.Pia ni muhimu kuwa chini ya mwalimu maalumu.Kuna baadhi ya matamshi ya maneno yanafanana lakini maneno yanaandikwa tofauti na matamshi (mchangiaji mmoja ameeleza hapo juu). Napendekeza:1. asome kwa miezi mitatu, 2. Aende British Council kwa mafunzo hayo.Njia rahisi ya kujua lugha yoyote ni kujifunza kama mtoto.. hakuna kwenda darasani wala kujifunza zile sheria sijui na aina za maneno.. fungua channel za kiingereza za tv, sikiliza redio channel za kimombo, fanya mazoezi ya kuongea na mtu ambaye unajua anaweza kuongea, usiogope kukosea, ukikosea unarekebishwa unajaribu kunyosha tena..practice, practice, practice...baadae unaweza kabisa.. huko darasani utapoteza hela yako.. tena na wewe unaweza kusoma hapo una faida pia ya kuweza kujua zaidi na mapema.. sasa ukianza kwenda kujifunza nouns, sijui verbds, parts of speech sijui grammer rules utachelewa sana... ni sawa na mtu anaetaka kujifunza muziki kupiga chimbo fulani,,unaanza kwenda kusoma vile virungu virungu vya notation wakati kitaa mtu anakufundisha vizuri na unamudu
Duh!Yo nah min, Nah wala msein.....Yo warap, how yu doin my nikka.
Mmmh siku hizi kila kitu ni CCM, angalieni msije mkasema na CHADEMA Kuwa hapo ni CCM!Waliomfikisha hapo ni CCM mnaowaona bora eti mnarudi mlipotea.
Anza kuongea mbona Shilole kaanza tayari, Diamond alianza mlikuwa mnamcheka sasa hivi yupo vizuri.Huwezi kujua lugha bila ya kuanza kuitumia.Kiingereza cha DIAMOND kwasasa ni kizuri kuliko wabunge wengi sanaNahitaji kujua kingereza cha kuongea mwenye kujua chuo ambacho naweza kusoma ndani ya mwezi 1 anisaidie umri wangu ni 45yrs
Mkuu umewahi kwenda paleKiongozi mi nadhani kwa huo umri wako basi kama uko dar es salaam uende pale british councell wako vizur sana