Natamani Nipate BAN!

Natamani Nipate BAN!

Mzee

Platinum Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,620
Reaction score
5,867
Toka nianze sijawahi pata BAN, nazisikia. Naomba ban, nataka nipumzike kama miaka kumi bila kuvisit jf ila nimeshindwa. Nisaidieni wana jf, nina kazi nying. Jf inanibana sana.
 
Baada ya kuona picha yako nimegundua nguvu ya moshi imekusukuma kuomba ban,ingekuwa nguvu ya arusha wala usingeomba.
 
Mh!this is very strange!nakumbuka ule usemi wa masaburi!!
 
Back
Top Bottom