Natamani Nipate BAN!

Natamani Nipate BAN!

Baada ya kuona picha yako nimegundua nguvu ya moshi imekusukuma kuomba ban,ingekuwa nguvu ya arusha wala usingeomba.

inanifanza niwe na misimamo.

Join Date : 2nd February 2011
Location : DUNIANI
Posts : 1,207

Rep Power : 23

Yaani umekuja hivi karibuni then unataka sepa for 10 years kweli dunia hada ulimwengu shujaa.

I think alimaanisha kutokana na Avatar ya jamaa atakuwa amekula jani a.k.a msuba a.k.a ganja a.k.a msokoto a.k.a ... malizia

umenikosha kutumia neno Msuba..umenikumbusha mbali wewe

Mtukane mtu usiyempenda kabisa humu, ntakusaidia kuripoti!

Toka nianze sijawahi pata BAN, nazisikia. Naomba ban, nataka nipumzike kama miaka kumi bila kuvisit jf ila nimeshindwa. Nisaidieni wana jf, nina kazi nying. Jf inanibana sana.

vuta bang!

Toka nianze sijawahi pata BAN, nazisikia. Naomba ban, nataka nipumzike kama miaka kumi bila kuvisit jf ila nimeshindwa. Nisaidieni wana jf, nina kazi nying. Jf inanibana sana.

Watukane mods matusi ya nguoni uone kama hujala ban ya milele

Watukane mods matusi ya nguoni uone kama hujala ban ya milele

Hawata mpa BAN watajua anataka kwa makusudi sema amtukane mamaaa 1st l...dy aone.

Hawata mpa BAN watajua anataka kwa makusudi sema amtukane mamaaa 1st l...dy aone.

hebu niambie nimtukane vipi.

Back
Top Bottom