Demu hana akili, ataomba samahani kwa kumkuta jamaa na hizo kondom. Kumbuka jamaa kasema huyo Dada huomba samahani hata kwa makosa ya mshikaji. CHA KUFANYA: AMCHARAZE MINGUMI YA KUTOSHA NA KUMTIMUA.Weka kondom iliyotumika chumbani ,kwenye gari na suruali (zitawanyishe) na akukute nazo misimu tofauti
haha hongera mkuu mimi asee ameniganda hadi kero , nimeamua kumpotezea kimya kimya simtafuti kabisa hata week 2 ila siku akinitafuta anachangamka kama hakuna kilichotokeaMkuu mpe majaribu kimya kimya atapata ufahamu tuu
Nilikutwa na zengwe kama hilo yaan ni kero balaaa,kwasababu mm mtu wa mtungi mwisho wa siku akaona hapa hakuna future...akajitenga kistaarabu kabisa nilishukuru sana
Kaolewa mwezi 10 mwaka jana na nilimpa hongera mimi bado nipo nipo mawazo ya ndoa sina kabisa
Bado sijaonja ladha nyingi sana km kidoti,tunda,hamisa nk
,Ataenda kujinyonga au kupanga kisasi cha ajabu ajabuDemu hana akili, ataomba samahani kwa kumkuta jamaa na hizo kondom. Kumbuka jamaa kasema huyo Dada huomba samahani hata kwa makosa ya mshikaji. CHA KUFANYA: AMCHARAZE MINGUMI YA KUTOSHA NA KUMTIMUA.
Mkazie tuu atasepa,huwa akili zikiwajia ni waelewa sanahaha hongera mkuu mimi asee ameniganda hadi kero , nimeamua kumpotezea kimya kimya simtafuti kabisa hata week 2 ila siku akinitafuta anachangamka kama hakuna kilichotokea,
Huyo alokudanganya kakuweza.Huwezi amini wanaume wanapenda mabinti wa aina hiyo yaani wale ambao ni wakaliwakali, wakorofi, wasio na maadili. Lakini pia mabinti wa aina hii tena wengi wao ndo huwa waremboooo wenye mvuto. Unakuta mwanaume anatukanwa na binti vibaya sana, lakini utamsikia akiomba msamaha kwa unyenyekevu mkubwa. Mabinti ambao wana maadili na wanyenyekevu wengi wao hawana mvuto na hawapendwi, utakuta mwanaume anamfokea na wala haombi msamaha sana sana utasikia akisema ukitaka nenda kwenu hata sasa, mimi sikutaki unaning'ang'ania
Aliahazikuta mara kibao sana mkuu ila ndo vile kua gentleman naomba msamaha ananisamehe na kusahau. Hakika namuonea huruma sana.Weka kondom iliyotumika chumbani ,kwenye gari na sururi (zitawanyishe) na akukute nazo misimu tofauti
Kaka yako ndio anapenda wanawake wanaoachwa?Naomba no yake nimuunganishe na kaka yangu
hahaha jf inavituko.pole mkuu.. mi yalinikuta hayo... nimemfanyia vibweka... kila aina ya kituko.. ila nilivyojifanya mwehu akili zimeniruka.. mbona aliniacha mwenyewe!
nakushauri kuwa chizi tu..!