mkuu...bikira ina thamani.?Sasa kama ulilijua hilo kwa nini ulimpotezea muda wake.Wewe ni mharibifu na malaya sana.Baada ya kumuondolea thamani yake umemchoka kiasi ya kumwombea wanaume wengine,unataka kumfanya jamvi la wanaume.Ulaaniwe.
Thats my sweet darling.kweli mitakataka
Zero wisdom generationNiko kwenye mahusiano na binti mmoja kati ya wengi nilionao.
Kiukweli natamani huyu binti achepuke kwa mwanaume mwingine, huyu binti niko nae kwenye mahusiano zaidi ya mwaka mmoja sasa. Natamani achepuke labda huko atapata mwanaume atakaemfaa katika maisha yake.
Huyu binti ni mwema sana kwangu kiasi kwamba wema wake unageuka kua kero kwangu, mimi ndie mwanaume wake wa kwanza, nina uhakika hajawahi kutoka na mwanamume mwingine kabla yangu na baada yangu.
Nikiri kua nilitumia muda mwingi na gharama nyingi kumshawishi huyu binti kua mimi ndie mwanaume sahihi aliekua amemtunzia mwili wake hadi akakubali kuniruhusu kuchana nyavu.
Natamani achepuke maana huko aanaweza kupata mwanaume mwingine mwema kwake,kwa kweli hutu binti hastahili kua na mimi, ni mwema kiasi kwamba hadi namuonea huruma,anaomba radhi kwa makosa ambayo hakufanya au ni.efanya mimi.
Nashindwa huyu binti namuachaje ili aende huko apate mtu anaestahili, namuonea huruma kwamba ameangukia sehemu isiyo salama, nina uhakika kuna watu wengine huko wanaostahili penzi na wema wa huyu binti mimi sistahili.
miss uThats my sweet darling.
Nakupenda kuliko neno lenyewe.
Mkuu mpe majaribu kimya kimya atapata ufahamu tuudah nna mtihani kama huo bandugu, yani sijui hata nifanyaje , mi kiukweli sikumpenda nlimfuata kwa ajili ya bikra yake kwani sikuwahi kutoa bikra hapo kabla , yani dah inatia huruma kwa kweli
Hakuna kitu hichooIv ushawah sikia laana ya mpz wew?????naona unaitafuta na utaipata muda cyo mrf
Niko kwenye mahusiano na binti mmoja kati ya wengi nilionao.
Kiukweli natamani huyu binti achepuke kwa mwanaume mwingine, huyu binti niko nae kwenye mahusiano zaidi ya mwaka mmoja sasa. Natamani achepuke labda huko atapata mwanaume atakaemfaa katika maisha yake.
Huyu binti ni mwema sana kwangu kiasi kwamba wema wake unageuka kua kero kwangu, mimi ndie mwanaume wake wa kwanza, nina uhakika hajawahi kutoka na mwanamume mwingine kabla yangu na baada yangu.
Nikiri kua nilitumia muda mwingi na gharama nyingi kumshawishi huyu binti kua mimi ndie mwanaume sahihi aliekua amemtunzia mwili wake hadi akakubali kuniruhusu kuchana nyavu.
Natamani achepuke maana huko aanaweza kupata mwanaume mwingine mwema kwake,kwa kweli hutu binti hastahili kua na mimi, ni mwema kiasi kwamba hadi namuonea huruma,anaomba radhi kwa makosa ambayo hakufanya au ni.efanya mimi.
Nashindwa huyu binti namuachaje ili aende huko apate mtu anaestahili, namuonea huruma kwamba ameangukia sehemu isiyo salama, nina uhakika kuna watu wengine huko wanaostahili penzi na wema wa huyu binti mimi sistahili.
Mimi nakushauri kitu kimoja tu jaribu kutafuta mchepuko ambao naomba Mungu uwe na tabia zifuatazo:- ukuchune hela kila siku, uwe na papuchi kubwa, uwe na mdomo mchafu uwe na midume mingine, uwe haupokei simu mida ya kuwasiliana naye nk afu utaona umuhimu ya huyo binti sayuni wewe hujui tu thamani yake na inaonyesha hujawahi kuvurugwa na hawa wanawakeNiko kwenye mahusiano na binti mmoja kati ya wengi nilionao.
Kiukweli natamani huyu binti achepuke kwa mwanaume mwingine, huyu binti niko nae kwenye mahusiano zaidi ya mwaka mmoja sasa. Natamani achepuke labda huko atapata mwanaume atakaemfaa katika maisha yake.
Huyu binti ni mwema sana kwangu kiasi kwamba wema wake unageuka kua kero kwangu, mimi ndie mwanaume wake wa kwanza, nina uhakika hajawahi kutoka na mwanamume mwingine kabla yangu na baada yangu.
Nikiri kua nilitumia muda mwingi na gharama nyingi kumshawishi huyu binti kua mimi ndie mwanaume sahihi aliekua amemtunzia mwili wake hadi akakubali kuniruhusu kuchana nyavu.
Natamani achepuke maana huko aanaweza kupata mwanaume mwingine mwema kwake,kwa kweli hutu binti hastahili kua na mimi, ni mwema kiasi kwamba hadi namuonea huruma,anaomba radhi kwa makosa ambayo hakufanya au ni.efanya mimi.
Nashindwa huyu binti namuachaje ili aende huko apate mtu anaestahili, namuonea huruma kwamba ameangukia sehemu isiyo salama, nina uhakika kuna watu wengine huko wanaostahili penzi na wema wa huyu binti mimi sistahili.
Pumbavu kabisa.