Natamani mpenzi wangu achepuke,a 'experience the difference'

Yaani kuna wanaume wanapata Bahati halafu anaipiga teke huko badae unapata binti alietoa mimba zaidi ya tano mwenye mdomo balaa ndani hkukaliki. Ni wanawake wachache sana wenye bikira ukimpata oa fasta
Huwezi amini wanaume wanapenda mabinti wa aina hiyo yaani wale ambao ni wakaliwakali, wakorofi, wasio na maadili. Lakini pia mabinti wa aina hii tena wengi wao ndo huwa waremboooo wenye mvuto. Unakuta mwanaume anatukanwa na binti vibaya sana, lakini utamsikia akiomba msamaha kwa unyenyekevu mkubwa. Mabinti ambao wana maadili na wanyenyekevu wengi wao hawana mvuto na hawapendwi, utakuta mwanaume anamfokea na wala haombi msamaha sana sana utasikia akisema ukitaka nenda kwenu hata sasa, mimi sikutaki unaning'ang'ania
 
Acha umalaya kufunuafunua mabinti za watu kama ww umemtoa bikra kwann umuache .. kumbuka wanawake hawapendi kugongwa na wanaume wengi tofaut na wanaume kila demu tunataman tule
 
Eeh hii Dunia watu wanakuaga na umama..
Sas ulimtongoza wa nin.? Umerusha mawe weee kutungua Dodo kumbe ulikuw unataka dafu sas Dodo Limeanguka unasema nilikuw silitaki Dodo hili nlikuwa nataka Dafu sas naomba hili Dodo likampate mlaji mwingine, Like serious.? Upuuzi like that ndio unapelekea Wanawke kuchukia wanaume na kufany wanaume weny mapenz ya kwel juu yao kuonekana ndio wale wale like U.

Na mwisho wa siku huyo Dada yupo Loyal 2 U, So huu ndio wakat wko kubadilika na sio ukambadilishe yule mwema akawe Chakaramu kama ulivyo ww
 
Niko kwenye mahusiano na binti mmoja kati ya wengi nilionao.

Kiukweli natamani huyu binti achepuke kwa mwanaume mwingine, huyu binti niko nae kwenye mahusiano zaidi ya mwaka mmoja sasa. Natamani achepuke labda huko atapata mwanaume atakaemfaa katika maisha yake.

Huyu binti ni mwema sana kwangu kiasi kwamba wema wake unageuka kua kero kwangu, mimi ndie mwanaume wake wa kwanza, nina uhakika hajawahi kutoka na mwanamume mwingine kabla yangu na baada yangu.

Nikiri kua nilitumia muda mwingi na gharama nyingi kumshawishi huyu binti kua mimi ndie mwanaume sahihi aliekua amemtunzia mwili wake hadi akakubali kuniruhusu kuchana nyavu.

Natamani achepuke maana huko aanaweza kupata mwanaume mwingine mwema kwake,kwa kweli hutu binti hastahili kua na mimi, ni mwema kiasi kwamba hadi namuonea huruma,anaomba radhi kwa makosa ambayo hakufanya au ni.efanya mimi.

Nashindwa huyu binti namuachaje ili aende huko apate mtu anaestahili, namuonea huruma kwamba ameangukia sehemu isiyo salama, nina uhakika kuna watu wengine huko wanaostahili penzi na wema wa huyu binti mimi sistahili.
"Mkataa pema pabaya panamsubiri" .....Usije ukarudi hapa mikono kichwani shauri yako!
 
Sasa kama ulilijua hilo kwa nini ulimpotezea muda wake.Wewe ni mharibifu na malaya sana.Baada ya kumuondolea thamani yake umemchoka kiasi ya kumwombea wanaume wengine,unataka kumfanya jamvi la wanaume.Ulaaniwe.
 
Hii dhambi utaigharamia kwa namna moja kati ya hizi:

- Peke yako.
- Dada yako.
- Binti yako.

Mweke chini, mwombe samahan na umwache mtoto wa watu aende!

Niko kwenye mahusiano na binti mmoja kati ya wengi nilionao.

Kiukweli natamani huyu binti achepuke kwa mwanaume mwingine, huyu binti niko nae kwenye mahusiano zaidi ya mwaka mmoja sasa. Natamani achepuke labda huko atapata mwanaume atakaemfaa katika maisha yake.

Huyu binti ni mwema sana kwangu kiasi kwamba wema wake unageuka kua kero kwangu, mimi ndie mwanaume wake wa kwanza, nina uhakika hajawahi kutoka na mwanamume mwingine kabla yangu na baada yangu.

Nikiri kua nilitumia muda mwingi na gharama nyingi kumshawishi huyu binti kua mimi ndie mwanaume sahihi aliekua amemtunzia mwili wake hadi akakubali kuniruhusu kuchana nyavu.

Natamani achepuke maana huko aanaweza kupata mwanaume mwingine mwema kwake,kwa kweli hutu binti hastahili kua na mimi, ni mwema kiasi kwamba hadi namuonea huruma,anaomba radhi kwa makosa ambayo hakufanya au ni.efanya mimi.

Nashindwa huyu binti namuachaje ili aende huko apate mtu anaestahili, namuonea huruma kwamba ameangukia sehemu isiyo salama, nina uhakika kuna watu wengine huko wanaostahili penzi na wema wa huyu binti mimi sistahili.
 
Kama uko kwenye akili yangu,yananipata haya.Uko na binti mtiifu,mtakatifu sana kulinganisha nawe mpaka unaona kabisa kwamba we si sahihi kwake ila huwezi kumwambia wala kumuacha kwa sababu yeye anahisi we ndo unastahili..Niko na binti wa hivi na tangu nianze kumfikiria hivi ni zaidi ya miezi 9.Wanaotaka kupendwa hawapendwi na wanaopendwa hawapendeki
 
Hakika Unaijua thamani yake baada ya kuondoka
 
Niko kwenye mahusiano na binti mmoja kati ya wengi nilionao.

Kiukweli natamani huyu binti achepuke kwa mwanaume mwingine, huyu binti niko nae kwenye mahusiano zaidi ya mwaka mmoja sasa. Natamani achepuke labda huko atapata mwanaume atakaemfaa katika maisha yake.

Huyu binti ni mwema sana kwangu kiasi kwamba wema wake unageuka kua kero kwangu, mimi ndie mwanaume wake wa kwanza, nina uhakika hajawahi kutoka na mwanamume mwingine kabla yangu na baada yangu.

Nikiri kua nilitumia muda mwingi na gharama nyingi kumshawishi huyu binti kua mimi ndie mwanaume sahihi aliekua amemtunzia mwili wake hadi akakubali kuniruhusu kuchana nyavu.

Natamani achepuke maana huko aanaweza kupata mwanaume mwingine mwema kwake,kwa kweli hutu binti hastahili kua na mimi, ni mwema kiasi kwamba hadi namuonea huruma,anaomba radhi kwa makosa ambayo hakufanya au ni.efanya mimi.

Nashindwa huyu binti namuachaje ili aende huko apate mtu anaestahili, namuonea huruma kwamba ameangukia sehemu isiyo salama, nina uhakika kuna watu wengine huko wanaostahili penzi na wema wa huyu binti mimi sistahili.
So sad indeed....!!!
 
Unakosea sana..haimanishi bikra wote ni wake bora, hata wew ulikuwaga bikra lakini kwasasa unajijua ulivyo
Kumbuka huyo aliyemtoa bikra na kumuacha ndo amemfanya kuwa hivi alivo, (kama kweli ana tabia mbaya).
nakubaliana na wewe kwamba, jamaa amepiga hatua kubwa sana kwa kutambua kwamba yeye si mtu bora wa kuoa mwanamke mwenye tabia nzuri kama aliyenaye sasa. huo unapaswa kuwa mwanzo wa kuachana na tabia zake mbovu na kuendana na mtu anayemuona kuwa na tabia nzuri kuliko yeye.

Ama kweli penye miti hapana wajenzi..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom