Mu-Israeli
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,454
- 975
![]()
Weka (LIKE) kama unapenda Dar-Es-Salaam ijengwe hivi...na COMMENT kama unaona haitawezekana...!
Inawezekana kabisa ila mpaka CCM ianguke.
labda tupate serikali isiyosikivu maana hii sikivu inahangaika na kujenga mahoteli mbugani.
Tatizo sio wahandisi..Tatizo ni pesa na wanasiasa (wenye mamlaka)..Kwa uzembe wa wahandisi wetu na ten percent, zitaporomoka baada ya miezi na kutuua kama kuku. Kama barabara ya lami inatengenezwa na kubonyea kama papai bovu baada ya miezi 3, seuze hii?
Mkuu Amavubi Hizo ni ndoto za mchana mkuu Manzese haiwezi kuwa hivyo mpa Rais awe ni kipanya..............na haya matatizo yapate kumalizika ndio Dar inaweza kuwa nzuri namna hivyo................................Mbona naona kama ni Manzese ya 2020?
Tupo kwenye upempuzi yakinifu na serekali sikivu inalifanyia kazi wazo lako