Natamani mji wa dar uwe kama huu mji unasemaje?

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,281
Points
2,000

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,281 2,000
Hivi ni vijimambo tu ngoja vijisenti vyetu vya Uswiss vipatikane.
mkuu TONGONI Unangojea mpaka Vijisenti walivyoiba Mafisadi virudi ndio uwe na wazo la kujenga mji wa dar akama hiyo picha inavyoonyesha?Sahau kabisa pesa hizo harudi ndio zimekwisha kwenda Kiendacho kwa Mganga huwa hakirudi kaka.
 
Last edited by a moderator:

Fekifeki

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2011
Messages
1,240
Points
1,250

Fekifeki

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2011
1,240 1,250
Lami za Kibongo bongo mtu akikojolea tu panatoboka!! Je, kama hiyo si itakuwa hatari tupu!? Ila Jeikei alishahaidi kinachofuatia sasa ni upembuzi yakinifu!!?
 

Mu-Israeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2012
Messages
2,457
Points
1,250

Mu-Israeli

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2012
2,457 1,250
sijui, labda Mwai Kibaki akiwa raisi wa Tanzania
Na kwa kuongezea hapo, labda tupitishe kwenye katiba mpya kuwa rais wetu lazima awe kaburu toka africa kusini. Ni hapo tu ndio tutaweza kujenga kama hivyo ilivyo hapo kwenye picha.
 

Attachments:

Forum statistics

Threads 1,392,877
Members 528,740
Posts 34,120,770
Top