Odoemma
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 828
- 876
Hahah jamnii wew Mungu anakuona Kwan kumsaidia mtu lazim ufanye yote hayoYeye nani kamwambia wazungu tu ndio wanavifanyio ? lazima apambane ndio ampate mlami wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah jamnii wew Mungu anakuona Kwan kumsaidia mtu lazim ufanye yote hayoYeye nani kamwambia wazungu tu ndio wanavifanyio ? lazima apambane ndio ampate mlami wake
Hahah jamnii wew Mungu anakuona Kwan kumsaidia mtu lazim ufanye yote hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
nitafute pm nikuthaminishe.
AminaSema umasikini wa nyumbani kwenu na tamaa zilochonganyika ns uvivu zinakufanya uwe zuzu kuwa kila mxungu ako na pesa..! Utazibuliwa bomba huko nyuma umtie majuto mama yako aliye kuzaaa!
Chapa kazi mafanikio hayana rangi, acha uvivu kupenda slopes zitakuponza mdada na zitakuletea laani wewe na kizazi chako.
Mhhh haya bana
IRON LADY!!!!
Mimi ni mzungu wa kibongo, Babu yangu na Baba yangu ni Wajerumani nami natafuta mke mzuri wa kibongo, njoo PM tufahamiane.Wanajanvi salaam jamani,
Nawakilisha shida ya ndugu yangu humu naomba msaada,
Ni binti wa kitanzania ananatamani kuwa na mume mzungu jamani tokea utoto wake mpaka leo ndio ombi lake ila hajabahatika naomba wanajanvi tumsaidie ndugu yangu kutimiza ndoto yake mwenye ndugu, rafiki, mfanyakazi mwenzie, mshikaji nk ambae ni ngozi nyeupe jamani akihitaji mke mbongo mpigieni upatu kipenzi changu huyu nitashukuru sana.
IRON LADY!
Mtafute mgiriki qu muitaliano wanapenda sana mabinti wa kiafrikaWanajanvi salaam jamani,
Nawakilisha shida ya ndugu yangu humu naomba msaada,
Ni binti wa kitanzania ananatamani kuwa na mume mzungu jamani tokea utoto wake mpaka leo ndio ombi lake ila hajabahatika naomba wanajanvi tumsaidie ndugu yangu kutimiza ndoto yake mwenye ndugu, rafiki, mfanyakazi mwenzie, mshikaji nk ambae ni ngozi nyeupe jamani akihitaji mke mbongo mpigieni upatu kipenzi changu huyu nitashukuru sana.
IRON LADY!
Wee usije kumuuza dada Wa watu hahaa.Kuna boss wangu mmoja. Wana deal na uranium tz. Ni billionea. Mwanae anataka mke wa kitanzania.
Wana mpunga mrefu sana.
Ananisumbua daily.
Huyo mwanae anakuja tz mwezi wa nane. Mimi sina rafiki ansyetaka mzungu.
Nitafute pm labda naweza kumconnect kama ni model. Kama ni kibonge mwambie asisumbuke
Kumbe ni wewe mwenyewe hahahNiunge nae basi mkuu
IRON LADY!!!!
Mkuu nasikia waitaliano makatili sanaMtafute mgiriki qu muitaliano wanapenda sana mabinti wa kiafrika
Ukimpata tupe mrejesho...
Sent using Jamii Forums mobile app