BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Sawa ila jamaa ana ringa sanaNaomba niunganishe naye mkuu labda anaeza msaidia dogo
IRON LADY!!!!
na mimi siwezagi kumbembeleza mwanaume mwenzangu kamwe.
Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
Sawa ila jamaa ana ringa sanaNaomba niunganishe naye mkuu labda anaeza msaidia dogo
IRON LADY!!!!
Daaah yani eti akafanyishwe na mbwa? ama kweli wewe una matusi machafu.Utumwa haujaisha, tujiajiri jamani wadada tunatia aibu Huyo shoga ako anatamaa ya kuzani akiolewa na mzungu atatoka kimaisha coz haikuji akilini eti Ili mradi awe mzungu tu basi atamkubali hakuna vigezo si mwisho ataolewa hata na wahuni kiss nini mzungu. Jitahidi kumshauri aachane na hiyo kasumba atazeekea kwao au aende huko ulaya akafanyishwe na mbwa.
Aibuu tunajitia jamani wanawake wa kitanzania turudini kwenye tamaduni zetu.
Kipenda roho mkuu kila mtu anakuwa na choice yakeUtumwa haujaisha, tujiajiri jamani wadada tunatia aibu Huyo shoga ako anatamaa ya kuzani akiolewa na mzungu atatoka kimaisha coz haikuji akilini eti Ili mradi awe mzungu tu basi atamkubali hakuna vigezo si mwisho ataolewa hata na wahuni kiss nini mzungu. Jitahidi kumshauri aachane na hiyo kasumba atazeekea kwao au aende huko ulaya akafanyishwe na mbwa.
Aibuu tunajitia jamani wanawake wa kitanzania turudini kwenye tamaduni zetu.
Nyege siri mrembo au vipi?wewe kitu kinaanza kuloesha chupi na unajikaza weee mpaka unaamua bora utafute kitu roho inataka,yaani rangi ya carrot au vipi?Kwani kusema mie sh ngapi shoga na nyege siri mpaka nijifiche
IRON LADY!!!!
Mimi hapaWanajanvi salaam jamani nawakilisha shida ya ndugu yangu humu naomba msaada ni binti wa kitanzania anaNATAMANI KUWA NA MUME MZUNGU JAMANI TOKEA UTOTO wake MPAKA LEO NDIO OMBI Lake ILA haJABAhaTIKA NAOMBA WAnajanvi tumsaidie ndugu yangu kutimiza ndoto yake MWENYE NDUGU,RAFIK,MFANYAKAZI MWENZIE ,Mshikaji NK AMBAE NI ngozi nyeupe JAMANI AKIHITAJI MKE MBONGO mpigieni upatu kipenzi changu huyu NTASHUKURU SANA!
IRON LADY!!!!
Wanajanvi salaam jamani nawakilisha shida ya ndugu yangu humu naomba msaada ni binti wa kitanzania anaNATAMANI KUWA NA MUME MZUNGU JAMANI TOKEA UTOTO wake MPAKA LEO NDIO OMBI Lake ILA haJABAhaTIKA NAOMBA WAnajanvi tumsaidie ndugu yangu kutimiza ndoto yake MWENYE NDUGU,RAFIK,MFANYAKAZI MWENZIE ,Mshikaji NK AMBAE NI ngozi nyeupe JAMANI AKIHITAJI MKE MBONGO mpigieni upatu kipenzi changu huyu NTASHUKURU SANA!
IRON LADY!!!!
hahaha mkuu umenikumbusha uzi fulan vijana walikuwa wanatiririka balaa zilizokuwa huko badooMbona ni rahisi sana!!......Cha kufanya ajisajili kwenye badoo za kizungu!
basi mwaya usichukie.Mhhh haya mkuu umeshinda
IRON LADY!!!!
Nimecheka kama mazuri nimekumbuka wimbo fulani (kalibu chapati na supu ya mkia wa kondoo in mama ntilie mzingu voice)Huyu sio kwamba ndoto yake nikuolewa na mzungu laaaa!!!....yeye amekalili kwamba wazungu wanamaisha mazuri hivyo amelenga maslahi hajui kama sikuizi kuna wazungu mama/baba ntilie