Huwezi jua kama anataka maisha ndo maana anatafuta mzungu, mwingine ni mapenzi tu na anavutiwa na kuwa na mpenzi mzunguUtumwa haujaisha, tujiajiri jamani wadada tunatia aibu Huyo shoga ako anatamaa ya kuzani akiolewa na mzungu atatoka kimaisha coz haikuji akilini eti Ili mradi awe mzungu tu basi atamkubali hakuna vigezo si mwisho ataolewa hata na wahuni kiss nini mzungu. Jitahidi kumshauri aachane na hiyo kasumba atazeekea kwao au aende huko ulaya akafanyishwe na mbwa.
Aibuu tunajitia jamani wanawake wa kitanzania turudini kwenye tamaduni zetu.
[emoji13] shoo na mimi nipe apo moja basi nizae shombe shombe lolKuna rafiki zangu hapa wazungu kila siku wananiambia niwatafutie muafrika waoe,nitafute nikuunganishe
Nitumie picha na maelezo yake PM!Wanajanvi salaam jamani,
Nawakilisha shida ya ndugu yangu humu naomba msaada,
Ni binti wa kitanzania ananatamani kuwa na mume mzungu jamani tokea utoto wake mpaka leo ndio ombi lake ila hajabahatika naomba wanajanvi tumsaidie ndugu yangu kutimiza ndoto yake mwenye ndugu, rafiki, mfanyakazi mwenzie, mshikaji nk ambae ni ngozi nyeupe jamani akihitaji mke mbongo mpigieni upatu kipenzi changu huyu nitashukuru sana.
IRON LADY!
Hahhahahahaaaaa kwani wewe ni mzungu mweusiMzungu mweusi je anamchukua,..
Hahhahahahaaaaa kwani wewe ni mzungu mweusi
Okay my black american😉Yah mi mzungu mweusi black American
Okay my black american😉
Not okay......nina stressOkey vp hali,..!? How was your day!?
Not okay......nina stress
My queen white dude ni msemo... Kama kusema jamaa mweupe...White dude ndonini my king??