Natamani kuwa na mwanamme mzungu

Natamani kuwa na mwanamme mzungu

Mimi ninaconnection za wakaka wanaotaka mashugamamy wakizunguu.
 
Rahis sanaaaa nitampa mume mzungu ila lazima nimle kwanza ila 100% naweza mpatia mume wa kizungu tena simpi wazungu choka mbaya nampa mzungu mtuliv na ataenda mambele kama ndoto yake imtumavo
 
Rahis sanaaaa nitampa mume mzungu ila lazima nimle kwanza ila 100% naweza mpatia mume wa kizungu tena simpi wazungu choka mbaya nampa mzungu mtuliv na ataenda mambele kama ndoto yake imtumavo
Duuuuu huo sasa msaada au mtihani mkuu ?

IRON LADY!!!!
 
Kuna boss wangu mmoja. Wana deal na uranium tz. Ni billionea. Mwanae anataka mke wa kitanzania.
Wana mpunga mrefu sana.
Ananisumbua daily.
Huyo mwanae anakuja tz mwezi wa nane. Mimi sina rafiki ansyetaka mzungu.
Nitafute pm labda naweza kumconnect kama ni model. Kama ni kibonge mwambie asisumbuke
 
[emoji14] [emoji2] nipe mimi japo nikibonge kidogo lol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanajanvi salaam jamani,

Nawakilisha shida ya ndugu yangu humu naomba msaada,

Ni binti wa kitanzania ananatamani kuwa na mume mzungu jamani tokea utoto wake mpaka leo ndio ombi lake ila hajabahatika naomba wanajanvi tumsaidie ndugu yangu kutimiza ndoto yake mwenye ndugu, rafiki, mfanyakazi mwenzie, mshikaji nk ambae ni ngozi nyeupe jamani akihitaji mke mbongo mpigieni upatu kipenzi changu huyu nitashukuru sana.

IRON LADY!
Sema umasikini wa nyumbani kwenu na tamaa zilochonganyika ns uvivu zinakufanya uwe zuzu kuwa kila mxungu ako na pesa..! Utazibuliwa bomba huko nyuma umtie majuto mama yako aliye kuzaaa!

Chapa kazi mafanikio hayana rangi, acha uvivu kupenda slopes zitakuponza mdada na zitakuletea laani wewe na kizazi chako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom