Natamani kuwa na mwanamme mzungu

Natamani kuwa na mwanamme mzungu

Kama ni ngozi nyeupe mbona hata hawa ndugu zetu wenye upungufu wa Melanin katika ngozi watamfaa sana
Mkuu uko serious unajua si utani huu serious nahiyaji msaada

IRON LADY!!!!
 
Kama anategemea kutafutiwa atasugua sana.

Ajichanganye nao sehemu wanazo kuwepo...au online dating.
Huko unako muelekeza labda wamchakachue aorojeke kupata ndo ni zari tena la metal si kwa mzungu tu
 
Wanajanvi salaam jamani nawakilisha shida ya ndugu yangu humu naomba msaada ni binti wa kitanzania anaNATAMANI KUWA NA MUME MZUNGU JAMANI TOKEA UTOTO wake MPAKA LEO NDIO OMBI Lake ILA haJABAhaTIKA NAOMBA WAnajanvi tumsaidie ndugu yangu kutimiza ndoto yake MWENYE NDUGU,RAFIK,MFANYAKAZI MWENZIE ,Mshikaji NK AMBAE NI ngozi nyeupe JAMANI AKIHITAJI MKE MBONGO mpigieni upatu kipenzi changu huyu NTASHUKURU SANA!

IRON LADY!!!!
KUNA NDUGU YANGU NI ME HUA ANAKUTANA NAO ALMOST KILA SIKU KATIKA KAZ YAKE,, YEYE MWENYEWE KUNA WADADA WAZUNGU WANAMSUMBUA KWELI


Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
 
Huko unako muelekeza labda wamchakachue aorojeke kupata ndo ni zari tena la metal si kwa mzungu tu
Haha... itabidi aumie tu maana hakuna jambo jepesi jepesi..

Inahitaji sacrifice ya hali ya juu kuwa bridge ya mahusiano ya watu.
 
Haha... itabidi aumie tu maana hakuna jambo jepesi jepesi..

Inahitaji sacrifice ya hali ya juu kuwa bridge ya mahusiano ya watu.
Teh teh wenye zari wanajengewa mpaka nyumba lakini cha moto wanadumu nacho
 
Ila ajue kuwa mtandao wa Jaza , Ujazwe ni part and parcel in whiteman's marriage.

Kwa hiyo, mwambie aanze mazoezi ya mtandao wa makinikia mapema.

Pia, mwambie wazungu koko/wazungu pori wakiisha kutumia wapendavyo mara nyingi sana ni lazima wakutupe kwenye kapu la uchafu.

Kwa hiyo pia ajindae kisaikolojia kuwa pana siku atakuwa a rejected material.
 
Utumwa haujaisha, tujiajiri jamani wadada tunatia aibu Huyo shoga ako anatamaa ya kuzani akiolewa na mzungu atatoka kimaisha coz haikuji akilini eti Ili mradi awe mzungu tu basi atamkubali hakuna vigezo si mwisho ataolewa hata na wahuni kiss nini mzungu. Jitahidi kumshauri aachane na hiyo kasumba atazeekea kwao au aende huko ulaya akafanyishwe na mbwa.
Aibuu tunajitia jamani wanawake wa kitanzania turudini kwenye tamaduni zetu.
 
KUNA NDUGU YANGU NI ME HUA ANAKUTANA NAO ALMOST KILA SIKU KATIKA KAZ YAKE,, YEYE MWENYEWE KUNA WADADA WAZUNGU WANAMSUMBUA KWELI


Maelekezo na Maamuzi kutoka Juu
Naomba niunganishe naye mkuu labda anaeza msaidia dogo

IRON LADY!!!!
 
Wanajanvi salaam jamani nawakilisha shida ya ndugu yangu humu naomba msaada ni binti wa kitanzania anaNATAMANI KUWA NA MUME MZUNGU JAMANI TOKEA UTOTO wake MPAKA LEO NDIO OMBI Lake ILA haJABAhaTIKA NAOMBA WAnajanvi tumsaidie ndugu yangu kutimiza ndoto yake MWENYE NDUGU,RAFIK,MFANYAKAZI MWENZIE ,Mshikaji NK AMBAE NI ngozi nyeupe JAMANI AKIHITAJI MKE MBONGO mpigieni upatu kipenzi changu huyu NTASHUKURU SANA!

IRON LADY!!!!
Si useme tu kuwa ni wewe una nyege za kitu kyeupe?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom