Bibooo
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 401
- 290
wazungu wapo..ila utamwambiaje simba akutafutie nyama?..anyway,nina mshikaji wangu anaweza kukuunganisha na hao watu maana anafanya kazi nao..ila atawaambia upoje kiradha?...
Mmmm unabalaa wewe
wazungu wapo..ila utamwambiaje simba akutafutie nyama?..anyway,nina mshikaji wangu anaweza kukuunganisha na hao watu maana anafanya kazi nao..ila atawaambia upoje kiradha?...
ampe hata theory tu itatoshaMmmm unabalaa wewe
mmmm.baba nanii una mambo!ampe hata theory tu itatosha
Mwafrika kumuaproach mzungu ni kazi sana ila mzungu akimuaproach mwafrika muda huohuo ashakubaliwa na show inaweza pigwa siku hiyohiyo[emoji2][emoji125]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanajanvi salaam jamani,
Nawakilisha shida ya ndugu yangu humu naomba msaada,
Ni binti wa kitanzania ananatamani kuwa na mume mzungu jamani tokea utoto wake mpaka leo ndio ombi lake ila hajabahatika naomba wanajanvi tumsaidie ndugu yangu kutimiza ndoto yake mwenye ndugu, rafiki, mfanyakazi mwenzie, mshikaji nk ambae ni ngozi nyeupe jamani akihitaji mke mbongo mpigieni upatu kipenzi changu huyu nitashukuru sana.
IRON LADY!
Si bora wangeishia tu kumtoa marinda, walimtombesha na mambwa yao kwa kupendapenda vya mteremko, hadi leo hajaolewa tena na hana hamu na mingozi nyeupe hiyo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]walimwaribu kivip mkuu walimtoa marinda nini?
Njoo pm nikupe mzungu[emoji13] shoo na mimi nipe apo moja basi nizae shombe shombe lol
Sent using Jamii Forums mobile app