Natamani kuoa ila nimekosa mke

Natamani kuoa ila nimekosa mke

Hivi ni kweli kuna mwanaume anakosa mwanamke wa kumuoa mpaka anakata tamaa ya kuwa na familia?

Kuna mwalimu wangu wa primary kwa sasa anakimbilia 40 lakini hana mke wala mtoto, ukipiga nae story mbili tatu lazima aingize habari ya kukosa mke
huwa nakosa majibu ni kweli anakosa mke au ana tabia zinazomkosesha mke?
Anataka akutafune tu
 
Mwambie Ukweli huyo Teacher Kwamba "AMEKOSA HELA TU" akipata hela Mke Atakuja Automatically.
 
Back
Top Bottom